Hivi ni lini tutaanza kuipenda lugha yetu ya kiswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni lini tutaanza kuipenda lugha yetu ya kiswahili?

Discussion in 'Jamii Photos' started by babu M, Mar 5, 2012.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  POLICE LINE DO NOT CROSS!!!
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Usikute tulipewa msaada na Marekani hahaha!
   
 3. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  vi2 vya msaada hvyo
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Lugha yenyewe haitupendi
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Funguka...
  Kivipi?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa kweli aisee maana huo utepe ni sawa na unaotumiwa na police departments nyingi sana Marekani kama sio zote!
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Unafikiri hao waliongia ndani walifanya hivyo kwa vile iliandikwa kwa Kiingereza?
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kusema ukweli mi nadhani ni kampuni yenye kumiliki hiyo lorry ndio iliweka huo utepe (kwa kununua wanako nunua safety equipment zao). Hizo Kampuni zina fata safety and security procedures ambazo hata polisi wetu hawafati. They are not very compliant but they are better.
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  binti, hivi ni kweli raia wa kawaida unaweza kumiliki hizo nyaraka zilizoandikwa police hapa tz? wacha urongo
   
Loading...