Hivi ni lini Mahakama itatoa gawio kwa Serikali?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Japo ni Muhimili unaojitegemea uliopo huko huko ndani ya Serikali, lakini unaingiza hela mbalimbali tena kwa faida.

Je, ni lini tutaona au kusikia wanatoa gawio Serikalini kama tulivyoona kampuni ya mawasiliano ya TTCL?
 
Japo ni muhimili unaojitegemea uliopo huko huko ndani ya serikali lakini unaingiza hela mbali mbali tena kwa faida je?ni lini tutaona au kusikia wanatoa gawio serikalini kama tulivyoona kampuni ya mawasiliano ya t.t.c.l?
TTCL inawateja 2000 halafu inapeleka gawio la mabilioni serikalini? Waziri Kindamba naye analeta FUTUHI? Ndioo ni FUTUHI.
 
Lakini mahakama si ina wateja wengi zaidi ya hao wa ttcl ?kwa hiyo tutarajie kuona hela nyingi zaidi kama itatokea

Kwani Mahakama inafanya biashara? Kwani ile BONDI(Dhamana)(BAIL) hairudishwi inaenda kwenye mapato ya mahakama?
 
[Msela]..Wa Stendi yatupasa tufahamu bajeti upande wa usimamizi wa sheria unapewa bilioni ngapi pia hilo swala lako wanakusanya vipi fedha na zinaingia akaunti ipi? na wanakaguliwa vipi au ndio yale mambo ya kujisachi mwenyewe alafu ujishitaki mwenyewe.
Swali fikirishi je afisa wa TAKUKURU anaweza kumchunguza HAKIMU,JAJI au Mtumishi wa Mahakama na kumpata na hatia? Kesi itamuliwa wapi TAKUKURU au MAHAKAMANI!? Naunga mkono hoja.
 
Huku CAG anakagua kuona namnagani fedha zinatumika?
 
Back
Top Bottom