Hivi ni lini form four leaver 2017 watapangiwa shule?

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Imepita takribani miezi 7 tangu firm 4 2017 wamalize mitiani na takribani miezi 5 toka kutangazwa kwa matokeo.
Cha kushangaza mpaka sasa wanafunzi hawajui hatima yao huku shule za binafsi zikiwa tayari zimeshafungua shule zao.

Je kuna mtu mwenye habari nini kinaendelea?. Kwa kweli muda wanaosubiri kupangiwa shule umekuwa mrefu mno kiasi kwamba kuna uwezekano mwanafunzi kupoteza mwelekeo baada ya kukaa mtaani kwa muda mrefu. Mwenye taarifa zaidi atujuze .
 
Bado muda....ada yenyewe ni elfu 70 hivyo mtapewa wiki moja yakujiandaa, form five mtaenda wiki ya kwanza ya mwezi july
 
Duh! Sasa mbna ni mda mrefu sana wengine si tayari wamesha anza kupiga mishe za hela na kusahau kama walikuwa wanasoma
 
Duh! Sasa mbna ni mda mrefu sana wengine si tayari wamesha anza kupiga mishe za hela na kusahau kama walikuwa wanasoma
System ya nchi yetu hii bado sana katika upande wa elimu. Mwaka 2016 zilitoka tarehe 24 June, mwaka 2017 zilitoka tarehe 09 June. Wacha tuone mwaka huu itakuwaje.. Lakini ukiingia TAMISEMI wanadai yawezekana ikawa the same date na mwaka Jana...
 
Kwan katika website hyo ya tamisemi ukifufungua kuna sehemu ya kuuliza swali na ukajibiwa mkuu?
 
Back
Top Bottom