Hivi ni lazima walinzi wa Rais wetu waoneshe silaha zao waziwazi? Sidhani kama inaleta picha nzuri

Jamaa waajabu kweli raisi yupo ndani ya kituo cha polisi logic ni kwamba humo ndani kumejaa askari wenye silaha tayari, sasa hizo mbwembwe zao ni kielelezo cha ushamba uliojaa kichwani mwao.

..inakuwa kama ni MAJAMBAZI wanaingia hapo kituoni.

..kama mhusika hawezi kumlinda Raisi mpaka abebe silaha yake bila kificho basi nadhani huyo hana sifa na vigezo.

..Nyerere, Mwinyi, Mkapa,.Kikwete, waliwatoa wapi walinzi wao?
 
Back
Top Bottom