hivi ni lazima news za tv zetu zisomwe saa nzima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ni lazima news za tv zetu zisomwe saa nzima?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, May 16, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  najiuliza kila siku hivi ni lazima taarifa habari kwenye luninga zetu isomwe saa nzima? hivi wanaamini tumekaa tunatazama? hivi zile habari za africa mashariki wakenya nao wanaonyesha habari za tanzania huko kwao?
   
 2. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  habari za africa Mashariki, huku Kenya hakuna, labda kama kuna incidence flani ama kama kuna news interesting kama ile ya babu wa Loliondo.. News za Bongo sanasana twazipata kwenye net ama magazetini.. Na news kusomwa saa nzima ni kwa kuwa kuna segments nyingi, kama sports, business news, weather news, regional and International news, so wakiipa kila moja dakika kumi kumi, it makes an hour.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanajaza tu muda!!
   
 4. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Siyo lazima kenya wakisoma za TZ basi na TZ wasome za Kenya,Kwani ni nani anapanga huo utaratibu
  watu wanatazama soko na umuhimu basi,Walenya,waganda waliopo Bongo wanafurahi sana kutazama news za kwao na ukitazama mfano channel ten habari za Afrika mashariki zina wadhamini kibao hivyo tv zinatengeneza fedha kwa news hizo

  Kuhusu kusomwa saa nzima siyo issue sana,kwani fikiria kwa siku nzima Na pia inagawanywa gawanya na kwa mahesabu news za kitaifa ni dk 15,kimataifa 5,michezo 10,afrika mashariki 5,bishara 10,matangazo yanachukua kama 15(kwa ujumla) ,Hali ya hewa nk.Hivyo kwa hiyo balance ni sawa tu
   
Loading...