Hivi ni lazima kupiga mihayo asubuhi?

big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
422
553
Maana sijawah kuamka bila kujinyoosha plus mihayo...ushauri plz...
 

Attachments

  • 1412313112281.jpg
    1412313112281.jpg
    87.7 KB · Views: 492
Mh...aisee ilo nalo neno....hebu Wabeijing fungukeni basi..na nyie mnajinyoosha asubui na kupiga mihayo?
 
Mihayo..... Mihayo..... Mihayo ......Mihayo.....akuna....akuna.....akuna.....ajakwenda......ajakwenda....

Acheni kutuharibia kiswahili.
 
Mihayo jina la kinyamwezi looo wabongo hata kiswahili chetu ni shida? miayo mkuu siyo mihayo
 
umeleta mada ya miayo ila imehamia huko chini kwa kweli waafrika tunapenda penye utamu
 
sio sisi tu kila mtu duniani hapa natoka jasho sijui ni picha yake hiyo???

Hii picha ni yangu kwani unanihitaji ??

sasa unataka tujadili uchungu .... peleka Afghanistan huko ndiyo wanapenda uchungu

Wewe binti utaniua pesa zikipungua unakimbia ila huku chini zisikimbie maana utanitangaza kabisa
kweli nzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kupenda
 
Hii picha ni yangu kwani unanihitaji ??



Wewe binti utaniua pesa zikipungua unakimbia ila huku chini zisikimbie maana utanitangaza kabisa
kweli nzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kupenda

ndiyo hivyo ukipenda tunda penda na ua lake
 
Back
Top Bottom