Hivi ni lazima kujichanganya na watanzania USA?

Infact hata JF unaweza kujitenga na hatutakumiss Kabisa....... KAMA UKITAKA.

Last edited by a moderator:
Kama huna shughuli iliyokupeleka USA. Maana yake wewe ni straw away. Kwa mazingira yako tafuta watu wa aina yako wakupe mbinu za kuishi kwa Obama. Lakini kama umeenda kimasomo au kibiashara. Achana na umbeya. Fanya ulichoenda kufanya kwa mda uliopewa. Rudi Tanzania uje ujenge nchi.
 
Nimeiliza hili swali kwa sababu kuna blog ilikuwa inazungumzia watu wasiojichanganya eti wanaringa .people are busy jamani
 
Bibie,
Jichagulie maisha unayotaka kuishi. Hujalazimishwa kuchanganyika na Watanganyika. Hujalazimishwa.
 
Faida na hasara Zake ni zipi?
Best way nikuwauliza hao wanaosisitiza kujichanganya sio sisi, tumeshajua kwamba uko USA so what?! As a food for thought, na ukifa, ujizike! Nyie ndo ambao maisha yakiwapiga mnaanza kuomba misaada kwa wenzenu... Think twice mtoto.
 
Ivi sielewagi what does that mean kusema ukifa ujizike... I think its will sound more relevant ukasema ukiumwa, akipata economic crisis may be.. Sasa ukisema ukishakufa hiyo haimuhusu tena as far as amekufa..hakuna uhusiano wa kuzikwa either kifahari,kistarabu in whatever way tunauhifadhi mwili..kama hawatamzika manispaa itamzika. Tuguse vitu vitakavo exist while mtu still anaexist.
 
Natalia tutumie kwanza ile dola ya sikukuu kabla ya kujichanganya
wengine wana shida kuliko hata sisi wabongo wataanza kulia lia kwako then tutakosa mshiko wa thikukuuu.
 
Last edited by a moderator:
socialisation with people from home is a good thing, lakini si lazima, ni uamuzi wa mtu mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom