Hivi ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RayB, Apr 9, 2010.

 1. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu nimesoma maneo fulani kuwa eti Liyumba kafutiwa baaadhi ya mashtaka?

  "Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka mawili, kutumia vibaya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya Shilingi bilioni 221 leo ameondolewa shitaka la kutumia vibaya madaraka na hivyo kubaki na kosa moja.

  Liyumba aliyekuwa akikabiliwa na kesi hiyo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, alifutiwa shitaka hilo baada ya mawakili wa upande wa utetezi kutoa vielelezo vilivyothibitisha kuwa mteja wao hakuwa na kesi ya kujibu.

  Mshitakiwa huyo amerudishwa Keko mpaka Aprili 22 mwaka huu, kesi hiyo itakapotajwa tena mahakamani hapo"


  Kama ni kweli basi ni kidogo kidogo hivyo mpaka mashtaka yote yanafutwa-Tanganyika bwan
  a
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kuna thread imeongelea hayo. Search back!
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Cheers bro!
   
Loading...