hivi ni kweli?

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
Ni kweli kwamba wacchana 2 ndo wanaochezewa katika mahusiano na kupotezewa mda?
maana mara baada ya kutokea mikwaruzano ya hapa na bale na kupelekea kuachana, mara nyingi wasichana hutoa lawama nyingi kwa mvulana kuwa ammempotezea mda wake,
 
C kweli hata kidogo coz wacchana wako kimaslai zaidi kwani kama hauko vyema kipesa hata ukimwacha haoni noma
 
ishajadiliwa hii mambo ya kuchezeana, conclusion ilikuwa hakuna anayechezewa, wote mnakubaliana kuchezeana, kwani wakati wa michezo mwanaume tu ndio anapata raha?
 
Anayemdanganya mwenzie wakati anajua kabisa hana nia ya dhati na hayo mahusiano, basi huyo ndie anayempotezea muda mwenzake haijalishi ni msichana au mvulana!! Na ikitokea mambo yamechanganya katikati, hapo inakuwa 50/50!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom