Hivi ni Kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwendabure, May 12, 2011.

 1. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Waungwana naomba kuefahamishwa kuhusu hili. Je, ni kweli kuwa mwanafunzi anayepata daraja la chini ktk mitihani ya kidato cha Nne anaweza kusomea kazi ya ualimu wa shule za msingi? Na anayepata daraja la chini ktk mitihani ya kidato cha sita anaweza kusomea ualimu wa shule za sekondari (za kata)? Kama ndivyo tutafika kweli kwa anayetaka kufika aendako kuongozwa na aliyeshindwa kufika mwisho wa safari yake hapo kabla? Naombeni mnijuze Wakuu!
   
Loading...