the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 775
- 573
Amani na upendo juu yenu,
Nilifanikiwa kuishi mahali fulani ambapo kuna jamii ya Wamasai na Waswahili/ wasiokua wamasai wachache sana, ajabu niliyoiona hapa ni kwamba kuna Wamasai watatu wanaume aged below 28 yrs hawa wameoa Wazungu kutoka Norway na wamefanikiwa kuzaa nao watoto.
Wamasai wawili kati yao wanaishi na wake zao huko Norway na huwa kila mwaka wanakuja Tanzania na wenzi wao kama likizo isipokua huyu mmasai mmoja yeye huwa anaishi hapo hapo kijijini ila huwa mara chache anakwenda Norway kisha anarudi,
Sasa mara nyingi hizi familia zinapokuja Tanzania hawa wazungu huwa wanapenda sana kutembelea sana maeneo ya porini wakiwa peke yao bila wenzi wao na mara nyingi hupendelea sana kutoka mida ya jioni kuanzia mida ya saa 12 wakiwa na begi mgongoni na wameshika chupa ya maji mkononi na hutowaona wamerudi time gani na utawaona tena siku inayofuata
Sawa hakuna mipaka katika mapenzi ila binafsi couple hizi huwa naziona si za kawaida kwakweli
Pia hizi safari za watalii wazungu kuna missions zingine zaidi ya utalii ama ni utalii tu?
Labda kuliwahi kuwa na uzi kama huu hapa jamii forum ila sikufanikiwa kuusoma na mwenye majibu ya maswali yangu hayo ningeomba kufahamu zaidi na samahani pale nilipoteleza