abelexpeditor
Member
- Jan 27, 2017
- 67
- 30
Leo hii nakuja kwenu wadau wa maendeleo ya afrika.
Hivi ni kweli hawa watu weupe almaarufu wazungu nikweli wamebadilika au ni ufinyu wa frikra tulio nao.
tuna onasana vituo vingi vya watoto yatima,Misikiti na makanisa vimekua vikipokea misaada kutoka kwa wazungu,ingawa miaka 58 iliyo pita walikuwa wanawaweka watoto wa kiafrika katka zoo kamavile ni wanyama pori.
kwa miaka hiyo sio mingi ina maana hata aliye fanyiwa kitendo hicho bado hata kaz hajastaafu.
ivi ni maumivu kiasi gani anayo pata mtu alliye fa nyiwa kite ndo kilee, na bado wazungu wanakuja kwenye vituo vya watoto na wana piga picha matukio yoote na watoto hao jee huo ni msaada au bado tunafanywa biasharaa?