Hivi ni kweli wanawake wenye shape ni rahisi kuwapata

Naona kijana kakutoa mafichoni, nisaidie sijamwelewa kabisa

Nipo rafiki, hata nami sijampata vizuri. Nafikiri ana issues na wadada wenye maumbo mazuri, au yeye kama ni mdada yuko na umbo la simba dume ndio maana kaleta hiyo kitu, ni mtazamo wangu lkn ambao l cant be blamed maana hajafafanua mwenyewe.
Hiyo no ya rep power yako 666, inabidi tuibadilishe aisee!
 
Hata mimi sijaipenda ila sijui niitoe vp....kwanza alipoanza "nasikia" nilijua tayari hii tamthilia. Anasema wenye shape hapo napo kanisababishia kuteguka akili. Kwanza toa msaada wa rep power
 
Done, itabadilika soon hiyo no ya mpinga Kristu.
 
Kwani kuna mtu hasie na shape achilia mbali mwanamke?

..... Mbona wooote mnazunguka mbuyuu.....

...... SHAPE KWA WAAFRIKA ... NI MAKALIOOOOOO MAKUBWAAAAAA NA KIUNO CHA WASTANIII..

. ... Ukiwa na M@t@ko makubwa mazuriiiiii.....kabaaaang....hadi asubuhi....

.... eleweni basiii
 
basi aedit kama ndio alikuwa na maana hyo
 
Back
Top Bottom