Hivi ni kweli wanawake wanavutiwa zaidi na wanaume wanaonukia kuliko wanaopendeza?

RAMAJ

Member
Sep 24, 2018
86
83
Habari za wakati huu ndugu zangu wa bara na visiwani, mashariki ya mbali na magharibi pia...

Mara nyingi nimekuwa nikilisikia hili swala kuwa wanawake wengi huvutiwa na wanaume wanaonukia zaidi kuliko wale wanaopendeza.

Suala hili imepelekea kunipa maswali mengi. Je, ukiwa umevaa nguo kuu kuu lakini ukawa unanukia zaidi kuliko yule aliyevaa nguo mujarabu zinazovutia na amepakaa mafuta yake ya mgando au hajapakaa kabisa uturi au manukato ya aina yeyote wewe ndio utakuwa mashuhuri kwa wanawake na kuwavutia zaidi kuliko aliyependeza?

Swala hili nalileta kwenu watu wa jukwaa hili la urembo na mitindo tujaribu kulifafanua kama litakuwa na ukweli wowote.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi napenda usafi wa kila kona na harufu nzuri, tukianzia mdomoni, miguuni , kwapa na kule kwenyewe. harufu nzuri utaipa tu pale mwanaume anapojiweka safi.
 
Back
Top Bottom