Hivi ni kweli wanawake wanavutiwa zaidi na wanaume wanaonukia kuliko wanaopendeza?

RAMAJ

RAMAJ

Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
69
Points
125
RAMAJ

RAMAJ

Member
Joined Sep 24, 2018
69 125
Habari za wakati huu ndugu zangu wa bara na visiwani, mashariki ya mbali na magharibi pia...

Mara nyingi nimekuwa nikilisikia hili swala kuwa wanawake wengi huvutiwa na wanaume wanaonukia zaidi kuliko wale wanaopendeza.

Suala hili imepelekea kunipa maswali mengi. Je, ukiwa umevaa nguo kuu kuu lakini ukawa unanukia zaidi kuliko yule aliyevaa nguo mujarabu zinazovutia na amepakaa mafuta yake ya mgando au hajapakaa kabisa uturi au manukato ya aina yeyote wewe ndio utakuwa mashuhuri kwa wanawake na kuwavutia zaidi kuliko aliyependeza?

Swala hili nalileta kwenu watu wa jukwaa hili la urembo na mitindo tujaribu kulifafanua kama litakuwa na ukweli wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Messages
2,767
Points
2,000
strongestbeliefsecret

strongestbeliefsecret

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2019
2,767 2,000
Latifa anukie manukato na wewe Athuman pia unukie vivyo hivyo? HAPANA/NO, Mwanaume jitahidi uwe msafi kiafya pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
709
Points
1,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
709 1,000
ni kweli nasikiwa wanavutiwa na harufu za asili za mwanaume hasa halufu ya pumbu
 

Forum statistics

Threads 1,307,087
Members 502,332
Posts 31,601,198
Top