fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,411
- 7,966
hakuna ushahidiUzi mfupi, sitaki kukuchosha
Habari wanaJamiiForum!
Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume tutawachukulia vibaya.
Hivi kuna ukweli wowote hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app