Hivi ni kweli wamikili wa Vyombo vya Habari na Wahariri wamepigwa mkwara na Magufuli?

AamQUOTE="Pascal Mayalla, post: 31035130, member: 17813"]
Mkuu Dombwela, please acha kutudanganya humu jf, hakuna mhariri yoyote aliyekuambia kuwa kapigiwa simu.

Yaani mhariri apigiwe simu na rais kuipangiwa namna ya kufanya kazi yake na isiwe big headline gazetini kwake, halafu ndio aje akuambie wewe Mkuu Dombwela?!.
Huu utakuwa ni uongo tuu, hakuna kitu kama hiki.

Na kama ni kweli hili limetokea na huyu mhariri hakuripoti, then huyu mhariri amevamia tuu fani ya Habari, atafute shughuli nyingine ya kufanya.

P
[/QUOTE]
Aambiwe yeye kwann kawa nan kwenye nchi hii, watii sheria bila shuruti wasipotii watashurutishwa
 
Mwanzoni nilizipata hizi taarifa kwa mhariri mmoja akiniambia kuwa amepigwa mkwara na Magu kwa kupigiwa simu na Magu moja kwa moja akaambiwa amuache afanyeje kazi.
Majuzi tena nimeambiwa hivyo hivyo na mhariri mwingine kuwa naye kapigwa mkwara kuwa amuache afanye kazi!.
Nimejiuli hivi nikweli Magu amefanya hayo kwa kuwaambia waandike na kutoa taarifa zenye lengo la kusupport yale anayofanya tu na si kuchallenge anayofanya?.
Lakini pia nimejiuliza kama ni kweli, hii jeuri ya kuwapangia wamiliki na wahariri wa vyombo binafsi anaitoa wapi?, na kwanini pia hao wamiliki na wahariri wamekubaliana naye?.
Nimejiuliza sana, hivi Magu anaogopa nini? au ni uzalendo tu kwa Taifa lake?.
Haya niliyoambiwa na hawa wahariri yanaweza kuwa ni kweli au wanamsingizia Magu?.
Jamani aliyewahi kulisikia hili atushirikishe labda yawezekana hawa walioniambia nao walikuwa visa vyao kwa Magu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni kweli ndio maana mimi nimeachana na magazeti nasoma habari mitandaoni tu. Mfano hakuna gazeti liliandika juu ya mgogoro wa serikali na imf!
 
Back
Top Bottom