Hivi ni kweli walimu 11000 sekondari kushushwa primary?

Mimi nakushauri usihandaike kujipendekeza sasa sana omba Mungu upelekwe Primary coz kuwepo msingi. utapata fursa nyingi sana kubwa ni muda wa ziada kufanya mambo yako
 
Back
Top Bottom