Fact Check: Wakati tunapata uhuru hazikuwepo shule binafsi? Aliyeandika na kupitia hotuba ya Rais awajibishwe

Wakati tunapata uhuru shule binafsi Za msingi na secondary zilikuwepo Kibao

Aliyeandika hotuba na wote walioipitia kabla kumkabidhi wawajibishwe

Kwenye eneo la hotuba yake linalohusu elimu kumemdhaliisha Raisi yaani kuna madudu Kibao sijui walimtegeshea makusudi
Hebu wazitaje shule binafsi hizo mzee

Mfano tu nakupa Kibasila kabla ilikuwa chini ya Magowa

Ova
 
Shule za msingi binafsi??? Wapi zilikuwepo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wazee wa zamani akiwemo Nyerere na wazee wako walisoma shule Za msingi ulaya au Za serikali? Nyerere shule Za msingi na secondary alizotaifisha zilikuwa sio shule Za binafsi? Zilikuwa Za serikali?.
Kama wewe ndie uliandika hiyo hotuba kazi kwako
 
Wakati tunapata uhuru shule binafsi Za msingi na secondary zilikuwepo Kibao

Aliyeandika hotuba na wote walioipitia kabla kumkabidhi wawajibishwe

Kwenye eneo la hotuba yake linalohusu elimu kumemdhaliisha Raisi yaani kuna madudu Kibao sijui walimtegeshea makusudi
Kwani yeye sio Mtanzania hata asijue haya?
Mbona huyu mama kila akivurunda huwa wanatafutwa wa kutupiwa lawama?
Hivi kwa huyu mkuu wa nchi tulipigwa na kitu kizito?
Utasikia oooh wanampotosha mama, kwanini apotoshwe kila siku?
 
Wakati tunapata uhuru shule binafsi Za msingi na secondary zilikuwepo Kibao

Aliyeandika hotuba na wote walioipitia kabla kumkabidhi wawajibishwe

Kwenye eneo la hotuba yake linalohusu elimu kumemdhaliisha Raisi yaani kuna madudu Kibao sijui walimtegeshea makusudi
Tatizo tuna rais wa kuchonga, yeye hata ukimwandikia maneno ya kujitukana, atasoma tu
 
Wakati tunapata uhuru shule binafsi Za msingi na secondary zilikuwepo Kibao

Aliyeandika hotuba na wote walioipitia kabla kumkabidhi wawajibishwe

Kwenye eneo la hotuba yake linalohusu elimu kumemdhaliisha Raisi yaani kuna madudu Kibao sijui walimtegeshea makusudi
Sasa Mzanzibari atajuaje historia ya nchi isiyo yake? Kama angekuwa Mtanganyika angegundua uongo uliomo kwenye hotuba kama wewe ulivyogundua. Lakini Mmalawi kapewa kusoma hotuba ya historia ya Uhuru wa Zambia unategemea nini?
 
Shule za msingi binafsi??? Wapi zilikuwepo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Shule za Aga Khan, za misheni, IST yaani Shule ya Kimataifa Tanganyika. Tuzoee siasa za uongo ila kubwa ni mwingereza alitusaidia tupate uhuru hii ni kwa mujibu wa hotuba za Nyerere akitoa shukurani zake na hatukua na mfungwa wa kisiasa!
 
Back
Top Bottom