Hivi ni kweli viganja vya mikono ya mwanaume vikiwa vikubwa na uume wake unakuwa mkubwa?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
1,748
2,000
Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati?


2021_07_21_11_10_31~2.jpg
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,405
2,000
Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati? View attachment 1862779
Wataalam wanasema akikunja kidole ha kati (kama anakunja ngumi)pale kidole kitakapofikia unaweka alama akikinyoosha ule urefu mwisho wa kidole hadi alama iliko ndio urefu wa uume .
Kwenye unene hawajasema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom