Hivi ni Kweli Unaweza Kutumia Simu Kama Projector Wakuu?

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,423
2,414
Heshima kwenu wadau.

Naomba kueleweshwa hiko kitu hapo juu je, kuna app inayoweza kutumika kwenye simu ikawa kama projector kwa kuangalia picha kwenye ukuta wakuu?

Kama kuna anayefahamu naomba atuelezee ina oparate vipi kwa simu?

Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
 
Ndio inawezeka tafta simu ya Samsung Galaxy beam au Max 1 zina projector kabsa. Ama tafta adopter za wireless za kuconnect na Bluetooth au wi-fe

Sawa kiongozi, ila ukisoma vizuri maelezo yangu nimeainisha kuwa KAMA KUNA APP inayoweza kufanya hivyo kupitia simu yoyote tu, atuelekeze.

Thanks.
 
Sawa kiongozi, ila ukisoma vizuri maelezo yangu nimeainisha kuwa KAMA KUNA APP inayoweza kufanya hivyo kupitia simu yoyote tu, atuelekeze.

Thanks.
Ndio maana nimesema kuna vi adopter vya wireless kinachomekwa kwenye projector una-connected kupitia Bluetooth au wi-fe kwenye simu kama projector yako ina port za usb inaweza kukubari.
 
Ameuliza simu yanyewe iwe kama projector na siyo kuunganisha na projector

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ndio inawezeka tafta simu ya Samsung Galaxy beam au Max 1 zina projector kabIsa. Ama tafta adopter za wireless za kuconnect na Bluetooth au wi-fe
Nilimjibu hivyo 👆👆👆👆 lakin kwenye swala la kubadilisha sim yeyote tu iwe kama projector haliwezikani maana projector ili iweze fanya kazi ya kurusha picha ukutani inaitaji hardware support
 
Mkuu nashkuru kwa mchango wako anuwai. Ila swali lilivyouliza na jibu ulilojibu ni vitu viwili tofauti mkuu.

Nimepitia hiyo link na nimesoma maelezo yote kea kina, ila kilichopo kwenye hiyo link uliyoweka wameorodhesha devices zilizo na built-in projector wakati mimi nimeulizia APP kiongozi.

Thanks a lot...!
 
Okay! Nilikuelewa vibaya mkuu!
 
Je naweza kutumia Bajaji kutembelea Baharini kama boti?

Hili swali linafanana sana na lako. Projector ni kifaa kinachofanya kazi ya kurusha picha kupitia mwanga mkali uliokuzwa. Sasa kama simu yako haina projector hutafanikisha hili. Labda kwa kutumia zile njia za kutengeneza kaBox , unaweka lensi na kutumbukiza simu ndani. Ila ni kamchezo ka watoto, yaani sio feasible approach.
_-----------------------------

Kinyume na hapo, tafuta projector inayosupport simu yako au tafuta simu yenye projector.
 
Back
Top Bottom