Hivi ni kweli TANESCO wanamlipa Seth wa IPTL Bilion 8.7 Kila siku?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,968
14,714
Rais hawezi kuuvunja huu mkataba na kuwafurusha nchini hawa wezi?

Baada ya Hukumu hii si tu tatalipa Bilioni 626, Lakini bado tunamlipa Seth kila Mwezi Dola Milioni 4 (Sawa na zaidi ya Bilioni 8.7 za Kitanzania) Kwa umeme wa mtambo uliomilikishwa Kifisadi Kwa Kampuni ya Kitapeli.
 
Mmeanza fyoko fyoko...... Fanyeni kazi ili kuwezesha upatikanaji wa Tanzania ya viwanda.
 
Back
Top Bottom