Hivi ni kweli Spika Ndugai anailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano kama alivyoapa ama leo ametuchezea shele?

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
242
450
Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais hayajatangazwa au baada ya kutangazwa. Spika Ndugai alionekana anatafuta na kunukuu vifungu kadhaa vya katiba ili asitende hiko anachoita uvujifu wa katiba kwa kutaka kung'amuwa ni namna gani ataepuka hilo.

Ila cha ajabu kunamatukio mengi ambayo yamebalikiwa chini ya Spika Ndugai yanayohusishwa na uvunjifu wa katiba wa moja kwa moja lakini Spika hajachukua hatua yoyoye ya kuyazuia zaidi yake amebaliki kwa kuyakingia kifua kwa nguvu zote.

Mfano Spika amewakingia kifua wale Wabunge 19 wanaoitwa wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMa ili hali chama kilishawavuta uanachama na kila mtu anajua hilo. Hii ni kinyume na katiba ambayo leo ameonekana kuangalia namna ya kutafsiri ili "asiivunje". Pia alinukuliwa akisema yeye ndiye Spika wasiogope kwani hakuna mtu wa kuwatisha!

Mfano mwingine wa uvunjifu wa katiba "uliosimamiwa" na Spika Ndugai, rejea saga la CUF enzi zile za CUF ya Maalim (RIP) na CUF ya Lipumba kuna Wabunge wa upande fulani walivuliwa uanachama hivyo kukosa sifa za kuwa Wabunge kwa mujibu wa Ibara (nimeisahau hiyo ibara) ya katiba inayosema Mbunge atakoma kuwa Mbunge tu pale atakapo koma kuwa mwanachama wa chama chake cha siasa "kilicho mzamini".

Kwa mukutadha huo ninapata wakati mgumu kumuelewa Spika ni Katiba gani aliyotaka asiivunje leo ili hali kasaivunja hiyo katiba mara kadhaa huo nyuma tena kwa wazi wazi?.

Leo sijamuelewa kabisa Mh. Spika.
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.
 
Nilimshangaa sana alivyokuwa anavunga kuhangaika, nikajikuta nimeropoka, 'si uvunje tu, ni mangapi makubwa umeyavunja? Kumbuka la Lissu na wale covid19'.
 
Shida yako unadhani kila mtu anaye chalenge ni CHADEMa, mimi siyo Mwanasiasa wala mfuasi wa chama chochote bali ni msomi niliyehuku mtaani bench.

Hapo hoja ni kweli Spika anailinda katiba kwa sababu ameapa kufanya hivyo na kwa kuwa inaonekama fika yeye ndiye anaongoza kuisigina hiyo katiba kwa matukio kadhaa. Hao wabunge wa CHADEMa ni case study tu ila sina masilahi nao just nina masilahi na Katiba kama Mtanzania wa kuzaliwa.
 
Nilimshangaa sana alivyokuwa anavunga kuhangaika, nikajikuta nimeropoka, 'si uvunje tu, ni mangapi makubwa umeyavunja? Kumbuka la Lissu na wale covid19'.
Kweli binadamu hatuishi unafiki, hasa wanasiasa ndio namba moja... Leo nimemshangaa sana Job
 
Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais hayajatangazwa au baada ya kutangazwa. Spika Ndugai alionekana anatafuta na kunukuu vifungu kadhaa vya katiba ili asitende hiko anachoita uvujifu wa katiba kwa kutaka kung'amuwa ni namna gani ataepuka hilo.

Ila cha ajabu kunamatukio mengi ambayo yamebalikiwa chini ya Spika Ndugai yanayohusishwa na uvunjifu wa katiba wa moja kwa moja lakini Spika hajachukua hatua yoyoye ya kuyazuia zaidi yake amebaliki kwa kuyakingia kifua kwa nguvu zote.

Mfano Spika amewakingia kifua wale Wabunge 19 wanaoitwa wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMa ili hali chama kilishawavuta uanachama na kila mtu anajua hilo. Hii ni kinyume na katiba ambayo leo ameonekana kuangalia namna ya kutafsiri ili "asiivunje". Pia alinukuliwa akisema yeye ndiye Spika wasiogope kwani hakuna mtu wa kuwatisha!

Mfano mwingine wa uvunjifu wa katiba "uliosimamiwa" na Spika Ndugai, rejea saga la CUF enzi zile za CUF ya Maalim (RIP) na CUF ya Lipumba kuna Wabunge wa upande fulani walivuliwa uanachama hivyo kukosa sifa za kuwa Wabunge kwa mujibu wa Ibara (nimeisahau hiyo ibara) ya katiba inayosema Mbunge atakoma kuwa Mbunge tu pale atakapo koma kuwa mwanachama wa chama chake cha siasa "kilicho mzamini".

Kwa mukutadha huo ninapata wakati mgumu kumuelewa Spika ni Katiba gani aliyotaka asiivunje leo ili hali kasaivunja hiyo katiba mara kadhaa huo nyuma tena kwa wazi wazi?.

Leo sijamuelewa kabisa Mh. Spika.
Ndugai anacheza kuendena na mdundo wa ngoma. Mwanzo alikuwa anacheza mdundo wa SUKUMA GANG, sasa amebadili anaangalia kwanza Mama Samia atakuja na mdundo gani.
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.
Nilitegemea kwa nukta yako mjadala ungekuwa umeshafungwa huu.

Nahisi tuwasaidie vijana wetu masuala ya protocol itapendeza sana.

Kwa maneno haya,tuishie hapa.
 
Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais hayajatangazwa au baada ya kutangazwa. Spika Ndugai alionekana anatafuta na kunukuu vifungu kadhaa vya katiba ili asitende hiko anachoita uvujifu wa katiba kwa kutaka kung'amuwa ni namna gani ataepuka hilo.

Ila cha ajabu kunamatukio mengi ambayo yamebalikiwa chini ya Spika Ndugai yanayohusishwa na uvunjifu wa katiba wa moja kwa moja lakini Spika hajachukua hatua yoyoye ya kuyazuia zaidi yake amebaliki kwa kuyakingia kifua kwa nguvu zote.

Mfano Spika amewakingia kifua wale Wabunge 19 wanaoitwa wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMa ili hali chama kilishawavuta uanachama na kila mtu anajua hilo. Hii ni kinyume na katiba ambayo leo ameonekana kuangalia namna ya kutafsiri ili "asiivunje". Pia alinukuliwa akisema yeye ndiye Spika wasiogope kwani hakuna mtu wa kuwatisha!

Mfano mwingine wa uvunjifu wa katiba "uliosimamiwa" na Spika Ndugai, rejea saga la CUF enzi zile za CUF ya Maalim (RIP) na CUF ya Lipumba kuna Wabunge wa upande fulani walivuliwa uanachama hivyo kukosa sifa za kuwa Wabunge kwa mujibu wa Ibara (nimeisahau hiyo ibara) ya katiba inayosema Mbunge atakoma kuwa Mbunge tu pale atakapo koma kuwa mwanachama wa chama chake cha siasa "kilicho mzamini".

Kwa mukutadha huo ninapata wakati mgumu kumuelewa Spika ni Katiba gani aliyotaka asiivunje leo ili hali kasaivunja hiyo katiba mara kadhaa huo nyuma tena kwa wazi wazi?.

Leo sijamuelewa kabisa Mh. Spika.
Mfano mwingine wa uvunjifu wa katiba "uliosimamiwa" na Spika Ndugai, rejea saga la CUF enzi zile za CUF ya Maalim (RIP) na CUF ya Lipumba kuna Wabunge wa upande fulani walivuliwa uanachama hivyo kukosa sifa za kuwa Wabunge kwa mujibu wa Ibara
Aliidhinisha kuvuliwa kwao ubunge ingawa kulikuwa na pingamizi la mahakama baada ya wabunge hao kufungua kesi mahakanani kupinga kufukuzwa kwao uwanachama. Baadae wabunge hao walikuja kushinda kesi zao lakini ubunge hawakurudishiwa. Huyu ndo Ndugai full of double standards na uvunjifu wa katiba.
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.
Wewe unafikiri hao CDM hawaijui hiyo sheria? Unajadili kwa kuegemea upande mmoja, hivyo hizo faru john zinakuhusu pia.

Mtoa mada na wachangiaji wapo wazi kabisa, ishu ni spika kuzoea kuvunja katiba, halafu leo anajifanya mtakatifu sana.

Unamzungumziaje kwenye sakata la wale wabunge 19?
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.
rudia kusoma andiko taratibu labda unaweza kumuelewa mleta mada. Hoja kuu hapa ni kwanini kwenye mambo mengine huwa hafuati sheria? Mfano mzuri ni wabunge wa CUF waliofukuzwa na Lipumba ambaye hakuwa kiongozi wa chama waliondolewa bungeni na kuapishwa aliowateua wakati kesi ilikuwa mahakamani. mfanoo mwingine ni wabunge 19 ambao wamefukuzwa uanachama wa CHADEMA lakini yeye bado anawang'ang'ania.
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.

Acha utoto dogo, huyo Nduga ni muhini kama wahunin wengine, na alikuwa anaaigiza kufuata katiba kwakuwa sio jambo lenye madhara kwake.
 
Mfano mwingine wa uvunjifu wa katiba "uliosimamiwa" na Spika Ndugai, rejea saga la CUF enzi zile za CUF ya Maalim (RIP) na CUF ya Lipumba kuna Wabunge wa upande fulani walivuliwa uanachama hivyo kukosa sifa za kuwa Wabunge kwa mujibu wa Ibara
Aliidhinisha kuvuliwa kwao ubunge ingawa kulikuwa na pingamizi la mahakama baada ya wabunge hao kufungua kesi mahakanani kupinga kufukuzwa kwao uwanachama. Baadae wabunge hao walikuja kushinda kesi zao lakini ubunge hawakurudishiwa. Huyu ndo Ndugai full of double standards na uvunjifu wa katiba.
Asante kwa kuongeza nyama 😄😄
 
Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.

Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.

Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.

Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.
Unajitahidi kweli kukariri, hoja zako huna.
 
Back
Top Bottom