Nasikitishwa na kauli iliyotolewa na nchimbi kuwa hakuna tume huru itakayoundwa kuchunguza mlipuko wa bomu la soweto arusha . Kauli hii ilinifanya niamini kuwa kunakitu serikali inakijua kuhusiana na mlipuko ule .ukusikia nchi za wenzetu wanavyopambana kulinda raiya wake utafadhaika sana na kauli hizi za serikali nakumbuka wakati bom lilipolipuka, waziri wa nchi alilitangazia taifa kuwa chadema ndio wamejilipua wenyewe akafuatiwa na mwigulu nchemba kwa kauli hiyohiyo cdm wao wakatoka na kauli kuwa serikali inahusika na bomu lile na ushahidi wanao wanachotaka ni tume huru ili wakabizi ushahidi sasa kutokana na malumbano haya nilitegemea serikali ifanye mambo matatu kwa wananchi wake 1. Nilitegemea serikali iwakamate hao wanacdm waliolipua bom ili kuwadhihirishia wananchi kuwa cdma ndio inayouwa watanzania hivyo sio chama cha kukishabikia
2. Nilitegemea serikali iunde hiyo tume huru ili kuwahakikishia wananchi kuwa hawahusiki na ulipuaji huo wa bomu
3. Nilitegemea serikali iunde tume huru ili kuwahakikishia wananchi kuwa si kweli kuwa cdm wanamfahamu aliyerusha bomu na si kweli kuwa cdm wana ushahidi.
Kwakufanya hivyo serikali ingejisafisha na matope haya wanayopakwa na cdm hivyo kuendelea kungara mbele ya wananchi na pia ingewahakikishia wananchi kuwa cdm sio chama cha ukeli na ni chama hatari hivyo kukifanya kichukiwe na wananchi jambo ambalo lingekiinua ccm lakini kwa kauli hii ya nchimbi serikali imezidi kujigaragaza kwenye matope hivyo kiifanya cdm izidi kupendwa
naomba kuwasilisha.