hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
kuna taarifa zinadai Rais Museveni baa da kushinda na kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa awamu ya tano mfululizo inadaiwa kuwa viongozi wote wa afrika na duniani kwa ujumla wamemsusa na ni rais wa Tanzania pekee ndo alimtumia salam na kumpongeza kwa ushindi?
Kwani rais Museven amekosea wapi mpaka viongozi wa kiafrika ukitupilia mbali viongozi wa dunia ya kwanza na ya pili kutomtumia salama za kumpongeza rais huyo? je viongozi wa afrika wanajikwaa wapi hasa katika zoezi zima la uchaguzi.
nini kifanyike ili kuweka mambo sawa kwa hawa viongozi hawa?