Hivi ni kweli presha husababishwa na wale tuwapendao?

kibugumo

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
1,448
386
Hebu wadau sikieni hii,Baby naomba unirushie salio la ths 5,000/=halafu hivi niko njiani nakuja kwako ila sitakaa sana,kama dk 5 hivi, naomba uniandalie kuku na chips nakuja na rafiki zangu,halafu nadaiwa 35,000/=nilikopa mpenzi wangu na pleaz sweet naomba elfu 45,000/=ya saluni si unajua leo weekend?i luv you mwahhhhhh.Hapo utakosa presha kweli?
 
hizi mi huwa naziita ingiza nikukamue!pana leta mchezo na binti ya mujini bana,si unajua mashamba yao ndo mifuko yenu enh?endeleeni kupiga jembe wavunaji wameshaandaa visu!
 
Hebu wadau sikieni hii,Baby naomba unirushie salio la ths 5,000/=halafu hivi niko njiani nakuja kwako ila sitakaa sana,kama dk 5 hivi, naomba uniandalie kuku na chips nakuja na rafiki zangu,halafu nadaiwa 35,000/=nilikopa mpenzi wangu na pleaz sweet naomba elfu 45,000/=ya saluni si unajua leo weekend?i luv you mwahhhhhh.Hapo utakosa presha kweli?

huwezi kupata presha wakati kakuzoea unampa kila siku.
Mpe bhana hivyo ndivyo mapenzi yenu yalivyo.
 
Back
Top Bottom