Hivi ni Kweli Ndizi Mbivu Zina Umeme?

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,446
16,299
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.

Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?
 
Attachments

  • jf.mp4
    2.8 MB · Views: 23
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.

Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?

sio kwamba hizo ndizi zimeunganishwa na waya wa umeme kweli...

Mbona maajabu haya...
 
Nmejaribu kuangalia kwa makini lkn sioni km zimeungwa na source of power yoyote ile.

Naona ni kweli hasa gand la juu lile
IMG_0741.JPG
 
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.

Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?
 
WATU MNAKIMBIA KUSOMA CHEMISTRY NA PHYSICS THEN UNASHANGAA KITU GAN.
TOPIC ELECTROLYSIS FORM 2& 3 CHEMISTRY & PHYSICS
SIO NDIZI TU HADI
1. VIAZI
2. MACHUNGWA
3.LIMAO
....
ACHA UKILAZA!!!!!
 
Back
Top Bottom