Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,311
Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekuatana na hii video ikionesha kwamba ndizi mbivu zina current/umeme.
Kwamba zinaweza kuwasha bulb ndogo japo sijui ni ya watt ngapi na zinaweza kuchaji simu pia. Wale wajuzi wa mambo ya electricity kuna ukweli wowote hapa?