Hivi ni Kweli Mwanaume "Zikitoka kwa Nguvu" Anazaliwa Mtoto wa Kiume?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Wakuu,

Kuna mdau mmoja amenieleza eti mtoto wa kiume anazaliwa kwa nguvu kubwa zaidi ikilinganishwa na mtoto wa kike. Eti wakati wa ku-do ukifanikiwa ku-shoot kwa nguvu na mwanamke akiwa kwenye zile siku lazima mimba ya mtoto wa kiume itatunga. Hivi kuna ukweli kiasi gani kuhusu suala hili?
 
why shud a cat always be killed by curiosity?
please jus wait to cross the bridge wen u reach there!!
 
Watu wana njia nyingi za kuuliza maswali...inawezekana ndio tayari keshafiki kwenye bidge...anatafuta dumelambegu

anhahahahhahah shosti afu tumekumiss kweli leo kwenye thread la wanawake wa kiafrika hawafiki kileleni ulikuwa wapi?wacha tuwape habari zao wanaume na wanavotupeleka peleka na miguvu gvu yao!walikuwa kimyaaaaa mi na gfsonwin tulikuwa tunatirririka tu!sa hizi wanayatafakari labda watabadilika!
 
Ngoja nikachungulie...heading ilinitisha nikaona sina la kuchangia maana mi nafikishwa. Lol.

anhahahahhahah shosti afu tumekumiss kweli leo kwenye thread la wanawake wa kiafrika hawafiki kileleni ulikuwa wapi?wacha tuwape habari zao wanaume na wanavotupeleka peleka na miguvu gvu yao!walikuwa kimyaaaaa mi na gfsonwin tulikuwa tunatirririka tu!sa hizi wanayatafakari labda watabadilika!
 
Sasa kama ni suala la ku-shoot kwa nguvu unarudi nyuma kama unapiga penalty halafu unakuja ukikimbia ama?

Mtoto anaundwa na mbegu mbili. Ya baba (anayetoa X ama Y) na ya mama (huwa ni X)
Muungano huu unaweza kuwa XY( atatokea mtoto wa kiume) ama XX (ambae atatokea wa kike). Kumuacha mke kwa sababu amezaa watoto wa kike tupu ni ulimbukeni kwa sababu baba ndio mwenye uwezo wa kuchangia kutokea kwa mtoto wa kiume pekee.

Watoto wa kiume wanaweza wasipatikane kirahisi kwa sababu hizi:
-Mbegu Y inakufa haraka. Haina uwezo wa kukaa kutafuta yai la X kwa mama kama ingetokea mbegu X
-Kwa sababu ya ulevi kupindukia ama kuwa exposed kwa solvents onaweza kuchangia kupunguza uzalishaji wa mbegu Y
 
asante mkuu embu nipm niku2mie mbege
 
Back
Top Bottom