Hivi ni kweli Mtu anaweza kuwa anaishi na Maambukizi (HIV+) halafu hajijui?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,311
Umuofia Kwenu,

Juzi kati kuna mshkaji wangu alikuwa na dem walikubaliana kupeana mambo. Huku na huko ukafika ule muda wa kupumzika bidada akaandaa mazingira tayari kwa kupumzika. Sasa kumbe huyu jamaa yangu alipanga wapime afya kwanza kabla ya mpambano na jamaa alikuwa na vifaa vyote vya kupimia.

Baada ya kumjuza yule bidada mambo ya kupima utata ndo ukaanzia hapo. Bidada alianza kutia mgomo kifupi hakuwa tayari kupima. Baadae alipima lakini baada ya mabishano ya hapa na pale. Kifupi dem alikuwa +ve.

Baada ya tukio hili jamaa akawa kama amepagawa na haelewi kama ni kweli yule dem alikuwa hajui hali yake ya maambukizi au alipanga kumwambukiza jamaa. Baada ya jamaa kutushirikisha hata sisi hatukuwa na majibu inakuwaje mtu awe na hali kama hiyo halafu anakaa kimya?

Vinginevo labda tuseme hajijui kama anao. Wakuu hii inawezekanaje au huyu bidada alitaka kumpasia jamaa maambukizi? Tuwe makini jamani, Upo.
 
Huu ugonjwa una maajabu mengi, Chile kuna mtu alikutwa na maambukizi haki juu wala hatumii dawa lakini ni mzima. Baada ya kumchunguza kwa muda mrefu, wataalamu waligundua mwili wake ulianza kupambana na ugonjwa CD4 zilipofika 500. Ha uzito wala hazipungui.

Hatumii dawa lakini kila baada ya miezi sita wanampima damu.
 
Uko ni mbali. BBC waliwahi kuripoti apo misituni Kongo kuna jamii ya watu imegundulika ina kinga inayowamaliza hao wadudu wa hiv. yaani vidudu vinakufa/vinapotea vyenyewe bila mhusika kutumia dawa yoyote. utafiti unaendelea.
 
Huu ugonjwa una maajabu mengi, Chile kuna mtu alikutwa na maambukizi haki juu wala hatumii dawa lakini ni mzima. Baada ya kumchunguza kwa muda mrefu, wataalamu waligundua mwili wake ulianza kupambana na ugonjwa CD4 zilipofika 500. Ha uzito wala hazipungui.

Hatumii dawa lakini kila baada ya miezi sita wanampima damu.
Hivi kuna uwezekano ukaupata ukakaa miaka 3 bila kuona dalili zozote ? Yana hata dalili za mwanzo kuonekanA?
 
Uko ni mbali. bbc waliwahi kuripoti apo misituni Kongo kuna jamii ya watu imegundulika ina kinga inayowamaliza hao wadudu wa hiv. yaani vidudu vinakufa/vinapotea vyenyewe bila mhusika kutumia dawa yoyote. utafiti unaendelea.
Kwa hiyo hawa wao ni kugegedana kwa raha zao
 
Jilinde kiongozi saivi kuna watu wana hasira wanataka kuwaingiza wenzao kwa nguvu kwenye mzunguko wa kumeza njugu na huwezi kushtaki popote. chukua tahadhari kabla ya hatari.
 
Tuanzie hapa alianzaje kutaka kumpima wakati wameenda kugegedana? Jamaa yako ni fala sana, kama alitaka hizo mambo alipaswa kumwambia she mapema kabla ya ahadi za mgegedo, haya kampima binti wa watu kakuta wamo na kama binti alikuwa hajui lolote haoni kama ameleta shida, nasema hivi endeleeni kupima pima mtapata mnachokitafuta shenzi
 
For how long do HIV viruses live on surfaces ?, Kwa mfano mtu mwenye ukimwi akajikata na kiwembe, itachukua muda gani kwa virusi kuishi kwenye kile kiwembe na ikitokea mtu mwengine ambaye ni negative akajikata na kile kile kiwembe atapata maambukizi ??.
 
Virusi dhaifu sana vile vikiwa exposed nje. Havisurvive.
 
Hiyo inawezekana mkuu, nilizaliwa na virusi vya ukimwi mwaka 1990's niliambiwa Hali ya yangu nikiwa darasa la sita, dalili zikaanza kujionesha mwaka 2016, na mwaka huo ndio nikaanza dozi
Pole sana mkuu vipi saivi hali yako na je una mahusiano?
 
Hiyo inawezekana mkuu, nilizaliwa na virusi vya ukimwi mwaka 1990's niliambiwa Hali ya yangu nikiwa darasa la sita, dalili zikaanza kujionesha mwaka 2016, na mwaka huo ndio nikaanza dozi
Kwa hyo muda wote wakat haujui Afaya yako hulikua hupati magonjwa kama homa na mafua makali na kichwa kuuma ?
 
Back
Top Bottom