Hivi ni kweli mshahara wa obama ni $400,000/= kwa mwaka au $33,333.33 kwa mwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli mshahara wa obama ni $400,000/= kwa mwaka au $33,333.33 kwa mwezi

Discussion in 'International Forum' started by Mandown, Jul 19, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  .. Mie naiamini sana WIKIPEDIA kwa habari za awali kabla ya kwenda dip, ila nahisi kama sija elewa vizuri... ama wana danganya ...! wale wadadafunyuzi soma zaidi President of the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
  [TABLE="class: infobox, width: 22"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]Incumbent
  Barack Obama

  since January 20, 2009
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Style
  [/TH]
  [TD]Mr. President
  (Informal)[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP]
  The Honorable
  (Formal)[SUP][3][/SUP]
  His Excellency[SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP]
  (diplomatic, outside the U.S.)
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Residence
  [/TH]
  [TD]White House
  Washington, D.C.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Term length
  [/TH]
  [TD]Four years
  renewable once
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Inaugural holder
  [/TH]
  [TD]George Washington
  April 30, 1789
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Formation
  [/TH]
  [TD]United States Constitution
  March 4, 1789
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"]Salary
  [/TH]
  [TD]$400,000 annually
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="align: left"][/TH]
  [TD]The White House  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huko kwao sio hela nyingi sana ni kama laki nne kwa hapa ,hazimtoshi kitu ila posho yake inakuwa kubwa.
   
 3. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  wajua wakurugenzi wengi wa makumpuni binafsi makubwA wanapata mshahara zeidi ya huo hapa TANZANIA
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Jamaa ana mshahara mdogo sana. Hebu fuatilia mishahara ya UN. Kama huo umekufanya uzimie, basi ya UN itakuua kabisa!
   
 5. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  i think they are deceiving us!!
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Hakuna posho huko wewe, hata chakula ni mwendo wa kijitegemea.
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Kwa mwaka 2009 GDP ilikuwa ni
  [TABLE="class: body, width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: graphHl, width: 150px"]Tanzania
  [/TD]
  [TD="class: graphHl"] $29,640,000,000.00 na Marekani ni
  [/TD]
  [TD="class: graphHl"] $13,060,000,000,000.00
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Ambayo ni mara 440 ya Tanzania kwa Proportional hizo hizo naamini Mshahara wa Raisi bongo ni 400,000 dola GAWA kwa 440 mabayo ni 909 Dola.

  So huu ni Mshahara nao stahili RAISI wa Tanzania amabo ni 909 Dolar.
   
 8. N

  Natalia JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kwa USA sio hela .mke wake alikuwa analipwa 360000 a year administrator Chicago hospital
   
 9. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  .........Mkuu pekuapekua uucheki na mshahara wa mkuu wetu pia......
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna wabongo mafisadi wanapata hiyo hela kwa mwezi
   
 11. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza unakuta kampeni za uraisi wa marekani zina gharama kubwa sana. Unakuta watu wanatumia mamilioni ya madola kwenye kampeni ili wapate kazi ya kulipwa dola laki 4. Wapi na wapi? Lakini ndiyo demokrasia hiyo!
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa, unaziona ndogo au nyingi?
   
 13. kmdh

  kmdh JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 505
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwali hiyo picha ni yako? Kama nakujua vile...
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmhh... Sio mimi. Ni avatar tuu...
   
 15. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  we waunaji mshahara huo kwa CEO wa nchi tajiri kuliko zote ulimwenguni!!
   
 16. M

  MTK JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Nasikitika kwamba post yako haina tija kwa mwananchi wa kawaida! mshahara wa Prez Obama unalipwa kwa kodi za mmarekani wala sio Mtanzania; bora ungepost kitu kama Tanesco na wizara ya nishati na madini wamefisadi shilingi ngapi, change ya rushwa ya rada iko wapi? Mashangingi ya Wabunge yanagharimu shilingi ngapi? je pesa hizo zisingeweza kuwalipa madakitari wetu badala ya kuwateka na kuwatesa?! Watuhumiwa wa EPA wamerudisha pesa ngapi na ziko wapi au zimetumikaje? mambo kama haya yenye tija kwetu, mjadala wa aina hii (lip service) una mchango mkubwa kwenye mustakabali wa taifa letu.
   
 17. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  ... du kwali kuna kazi Tanzania, hivi we huoni cha kujifunza kwenye hii thred.... aibu!
   
 18. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  nimeupenda huo uwiano!
   
 19. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  GDP ya tz 2009 ilikuwa 29.64 billion dollars!! are you sure??

  ON TOPIC:
  mshahara wa public servants (akiwemo raisi) unatokana na pesa za walipa kodi, mshahara wa ma CEO/GM/MD nk unatokana na pesa za kampuni. wamarekani ni wachungu mno kwenye pesa yao hivyo kupata mshahara wa mamilioni ni ndoto kwa public servant, private companies zinaweza kulipa chochote bila mkwara maana ni pesa zao. pia hela za uchaguzi zinatokana na michango ya wahisani/chama/wasamaria wema, sio kodi ya wamarekani ndio maana unasikia obama co. raised XX million dollars nk. Hio sio tz ambako kodi hutapanywa ovyo.

  EDIT: 98% of Americans earn less than $250,000 per year,so Obama's salary is actually a large one
   
 20. U

  Uswe JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  nafikiri hata yeye haamini kama ni kweli kwa sababu anafikiri ni mdogo ukilinganishi na ukubwa wa uchumi wa nchi kama marekani, lakini alichosoma ni sahihi kabisa

   
Loading...