Hivi ni kweli mh. Freeman mbowe na dr. Slaa ni madikteta?

sarakasi na kelele zote unazoziona zikifanywa na ccm kutaka mbowe na Dr slaa wajiuzulu ni kutokana na uwezo na utu walionao dhidi ya watanzania na hivyo kutokuweza kununulika kwa bei yoyote hivyo ccm wameona njia ni kutumia uchaguzi hasa ule wa juu kutaka yeyote tu aongoze lakini sio hao wawili kutokana na uwezo wao wa kutokununulika.
ushauri
chadema uongozi wa juu usibadilike mpaka 2016 kama ni uchaguzi basi ufanyike uhuni kama wa ccm walivowapitisha kinana ,mangula,na kikwete walivyopitishwa
Hawanunuliki because they are too cheap!!
 
Kutonunulika kwa Dr Slaa na Mbowe ndo kunawaumiza sana CCM. Zitto alikuwa safi wakamwonyesha pesa akatoa mate wakamkamata.
CCM ndo wanakazania Uchaguzi ndani ya Chadema wakidai Demokrasia ambayo kwao hakuna. Chonde chonde Chadema mkitoa Slaa na Mbowe kabla ya 2015 hata idadi ya wabunge waliopo sasa hivi itapungua. Kuondoka kwa Mbowe na Slaa hapo juu itakuwa ndo ushindi wa CCM
 
Mtu ambaye aligombea urais kwa masharti ya kulipwa kama wabunge iwapo akikosa urais ni mlafi wa pesa na si maendeleo, hivyo basi kwa ulafi wa pesa alionao slaa anaweza hata kuuza nafasi ya urais akihaidiwa maslai zaidi.
 
Ni bidhaa chakavu zimekwisha mda wa matumizi inabidi kuuzwa kama bidhaa chakavu.
 
Unamaanisha huyu Slaa aliyesema mpaka apewe pesa ndio atakubali kukiwakilisha chama chake kwenye uchaguzi ambao kilijua kabisa kitashindwa.
tena babu anajilipa mamilioni kushinda hata waziri mkuu wa jamhuri babu ni laghai
 
Njoo hapa na ukiweza kujibu maswali haya kwa ufasaha kesho nahamia ccm yenu hii hii na ufisadi wake:
1. Kwa nini ccm haihangaiki na viongozi wa/na vyama vingine kama CHAUSTA, TLP, NCCR, CUF, nk kama inavyokomaa na CHADEMA?
2. Kwa logic ya kawaida kabisa CHADEMA waakiboronga si ndio ccm itakuwa na manufaa? Sasa kwa nini ccm wasiache CHADEMA waendelee na "makosa" ili ccm wawashitaki kwa wapiga kura badala ya kuwasema kabla?
Mkuu wewe kituko kweli unatofauti gani na isha mashauzi?
 
Unamaanisha huyu Slaa aliyesema mpaka apewe pesa ndio atakubali kukiwakilisha chama chake kwenye uchaguzi ambao kilijua kabisa kitashindwa.

Kwanini baada ya pandikizi lenu kupigwa chini, mnakesha kwenye mitandao kutaka kumnusuru asifukuzwe? Hapo mmebugi meen! Chadema ni khabari nyingine bana!
 
Mtu ambaye aligombea urais kwa masharti ya kulipwa kama wabunge iwapo akikosa urais ni mlafi wa pesa na si maendeleo, hivyo basi kwa ulafi wa pesa alionao slaa anaweza hata kuuza nafasi ya urais akihaidiwa maslai zaidi.

Uwezi kumsajili Messy kwa bei ya Ngasa. Dr. Anastahili even more than that. Tunategemea kumwongezea katika uchaguzi ujao wakati anaelekea Ikulu.
 
Mtu anaekubalika Ngazi ya Chama inakuaje aogope Uchaguzi ngazi ya Chama?
 
CCM wanahaha kwani waliahidi kumweka Zitto kuwa mwenyekiti wa Chadema.Dili lao limevurugwa hivyo wamechanganyikiwa.Yote haya yametokea kwa sababu Mbowe na Slaa ccm ilishindwa kuwanunua ili waendelee kutawala hivyo walibakiwa na option moja tu kumsimika mtu wao awe mwenyekiti wa chadema lakini kwa aibu kubwa wameshindwa hivyo wanajitahidi kupenyeza vurugu ndani ya chadema kwa ajili ya zitto.Hili nalo litashindwa pia.
 
Teh teh teh kweli kupenda ugonjwa
 
Attachments

  • 1386023573958.jpg
    1386023573958.jpg
    7.7 KB · Views: 91
CCM wanahaha kwani waliahidi kumweka Zitto kuwa mwenyekiti wa Chadema.Dili lao limevurugwa hivyo wamechanganyikiwa.Yote haya yametokea kwa sababu Mbowe na Slaa ccm ilishindwa kuwanunua ili waendelee kutawala hivyo walibakiwa na option moja tu kumsimika mtu wao awe mwenyekiti wa chadema lakini kwa aibu kubwa wameshindwa hivyo wanajitahidi kupenyeza vurugu ndani ya chadema kwa ajili ya zitto.Hili nalo litashindwa pia.

Kweli kabisa watashindwa
 
Back
Top Bottom