Hivi ni kweli mh. Freeman mbowe na dr. Slaa ni madikteta?

Dr.W.Slaa ameweza mpaka kujaribu kuwafunga midomo magwanda wote kuwa wasiongelee suala la Zitto na Mkumbo. Eti kafunga mjadala, kwani lini aliufunguwa?

Huo kama si udikteta ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Dr.W.Slaa ameweza mpaka kujaribu kuwafunga midomo magwanda wote kuwa wasiongelee suala la Zitto na Mkumbo. Eti kafunga mjadala, kwani lini aliufunguwa?

Huo kama si udikteta ni nini?

Padri babu anaweweseka baada ya kugundua umaarufu wake umedumu kwa kitambo kidogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu milimo umetiririka vizuri..Ni bahati mbaya hakuna wachangiaji..Ila kuna mashabiki wa Magamba..
Nimekungongea "like"
 
Last edited by a moderator:
View attachment 124188
SABODO ACHA KUWADHALILISHA HAWA WACHAGA, HATA KAMA NI WAPENDA PESA LAKINI HII DHARAU NI TOO MUCH
CC: THE BIG SHOW , FaizaFoxy , ZeMarcopolo CHAMVIGA , Simiyu Yetu
MSALANI nitakwambia jambo hili..
CCM ndiyo imefanya M-Tanzania wa leo kudharaulika..Ndani na nje ya nchi...

Kama umeona hii ni dharau..Mkuu wetu na waandamizi wake wanakutana na zaidi ya haya..

Mimi Naishi nje ya Tz kwa sasa...Lakini amini..Huwa napata wakati mgumu kujivunia Nchi yangu..Mbele ya Rafiki zangu..

Inaumiza kuona Mtu kama wewe ...Huu ndiyo mchango wako..Kweli??
 
Last edited by a moderator:
Lumumba woote mmeamia huku!!
Kituo chenu CDM kimevunjwa
sasa mnaweweseka Poleni,
Zito
By by ,adios amigos!!
 
Maccm bwana turudishieni zile malizoote mlizoiba mfano shule, viwanja na majengo yoote mnayojitaabanisha ni yenu embu msalani na wenzako mtujuze majengo ya lumumba na mengineo yalijengwa mwaka gani na kodi za kina nani na ccm ilikuja lini msimwage ----- tu hapa na maneno ya kulishwa naombeni mniwekee na picha ya mwalimu j nyerere akiwa amevaa nguo za ccm
 
ni madkteta ndio maana lema ajaadhbiwa kwa kumpga mwgamba tofali mbele ya mwenyekiti mbowe na kileo hajaadhbiwa kwa kumchafua zto...ukiwa mchaga ndio au wa kaskazn ndio tket ya kuvunja sheria au
 
Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
 
1463007_375182955960535_862324112_n.jpg

KIONGOZI WA MILA WA WACHAGA VS WANYONGE -ZITTO ,NK

Zee NAFIKI NA ZANDIKI SAANA HILI,LIPIGWE VITA
 
sarakasi na kelele zote unazoziona zikifanywa na ccm kutaka mbowe na Dr slaa wajiuzulu ni kutokana na uwezo na utu walionao dhidi ya watanzania na hivyo kutokuweza kununulika kwa bei yoyote hivyo ccm wameona njia ni kutumia uchaguzi hasa ule wa juu kutaka yeyote tu aongoze lakini sio hao wawili kutokana na uwezo wao wa kutokununulika.
ushauri
chadema uongozi wa juu usibadilike mpaka 2016 kama ni uchaguzi basi ufanyike uhuni kama wa ccm walivowapitisha kinana ,mangula,na kikwete walivyopitishwa
 
Unamaanisha huyu Slaa aliyesema mpaka apewe pesa ndio atakubali kukiwakilisha chama chake kwenye uchaguzi ambao kilijua kabisa kitashindwa.
 
You have put your finger on the spot. CCM hivi sasa wanahaha kutokana na uongozi mahiri wa Slaa na Kamanda Mbowe.
 
Well said! Hakuna ubishi katika jambo hilo,ndo maana wanahaha kuwanunua watu waliokwisha fukuzwa CDM watoe matamko ya ajabu ajabu
 
You have put your finger on the spot. CCM hivi sasa wanahaha kutokana na uongozi mahiri wa Slaa na Kamanda Mbowe.

That is the only thing they will never come to realize.....mapimbi yu hawa.
Wanahaha tu. wameshindwa kupata wa kumnunua kwenye ngazi za juu.

Walimbahatisha Zitto, mwenyewe akagundua amechemka but it was too late.
 
Unamaanisha huyu Slaa aliyesema mpaka apewe pesa ndio atakubali kukiwakilisha chama chake kwenye uchaguzi ambao kilijua kabisa kitashindwa.

Njoo hapa na ukiweza kujibu maswali haya kwa ufasaha kesho nahamia ccm yenu hii hii na ufisadi wake:
1. Kwa nini ccm haihangaiki na viongozi wa/na vyama vingine kama CHAUSTA, TLP, NCCR, CUF, nk kama inavyokomaa na CHADEMA?
2. Kwa logic ya kawaida kabisa CHADEMA waakiboronga si ndio ccm itakuwa na manufaa? Sasa kwa nini ccm wasiache CHADEMA waendelee na "makosa" ili ccm wawashitaki kwa wapiga kura badala ya kuwasema kabla?
 
Back
Top Bottom