Hivi ni kweli marehemu baba wa taifa alikuwa hajui kuendesha gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli marehemu baba wa taifa alikuwa hajui kuendesha gari

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MZEE SERENGETI, Jun 8, 2011.

 1. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui kuendesha Gari,(KUNA ANAYE JUA CHOCHOTE KUHUSU HILI)
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwenye kitabu cha Long walk to freedoma cha Nelson Mandela ukurasa 344-345 Mandela anamsifia Nyerere kwa kuendesha gari mwenyewe, tena gari simpo.
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Nini gari...! kiswahili kajifunzia ukubwani!!!
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa waliokuwa karibu naye alikuwa 'dereva' mzuri sana. Sema labda kwa sababu alikuwa mtu muhimu mapema lazima haikuwezekana kuendelea kuendesha mwenyewe. Lakini pia sioni faida au hasara ya yeye kujua au kutojua kuendesha gari!! Au kuna mtu alitaka kumpa kazi ya udereva???? Maana vituko haviishi duniani!
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  jamaa yetu anajua kuendesha hadi bembea za jamaika
   
 6. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hivi jamaa yetu anajua computer??
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Tatizo liko wapi? kuna marais wanaendesha ndege za kivita,,Gari kwako unaona ishu kubwa sana??
   
 8. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  naona ujinga unakusumbua sana.so what kama kiswahili kajifunzia ukubwani?
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa msongamano wa hapo Dar bora nisingejua kuendesha gari nikazoea baiskeli yangu.
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wengi tumejifunzia ukubwani, hilo si la kutisha.
  Gari kujua au kutokujua halikupunguzii au kukuongezea chochote hasa katika uwezo wa kupamabanua mambo aliokuwa nao ni zaidi ya yote
  Mungu amlaze pema peponi
   
 11. o

  omote sando Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa kauiliza...je mwalimu alikuwa anajua kuendesha gari?...uanahtaj kujibu hapo tu..acha longolongo
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  mbona kuna picha niliwahi kuiona anaendesha trekta
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Sijui chochote kuhusu hilo,ila nachokifahamu mwalimu aliwaendesha watanzania tena kwa spidi kweli mujini mpaka vijiji vya ujamaa.
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hajui kitu chochote huyu ....
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Sababu tu ya nchi yetu kuwa maskini haijui sembuse kompyuta?
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Baba wa taifa alikua anajua kuendesha hii:
  [​IMG]
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ohh mbavu zangu mwe!!!!!
   
 18. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  kujifunza baiskeli ni kazi kubwa kuliko gari......
   
 19. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33  nikiwa form three, kama head prefect wa shule moja hivi niliandika kwenye kitabu cha rambiramb

  i yake  FAIRWELL PARTY OF THE GIANT:
  At this corner I stand,​
  To watch the people,​
  In deep grief and sorrow,​
  Crying and becoming unconscious,​
  Their father has slept,​
  For the eternal rest:​
  He is just like smiling​
  As if he wants to say;​
  “Viva Africa and peace​
  Be to its people”​
  O kinsmen don’t cry! Be happy​
  And celebrate,​
  Kaunda, Mandela, Mkapa and all comrades,​
  This is a farewell party:​
  For the front-liners’ work is over, ​
  Remains is our task​
  To restore our victory:​
  “The giant has fallen:​
  The nation​
  Mourns”​
  Rest in eternal peace,​
  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere:​
  Cc 1999​
  ( for the first president of Tanzania and founder of the nation, the late Mwalimu Julius Nyerere. ​
  may the lord God grant him eternal peace, Amen)​
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Umekumbuka la kutokujua tu, kaa + utujuze.
   
Loading...