Hivi ni kweli mama salma anasaidia watu wenye ukimwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli mama salma anasaidia watu wenye ukimwi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwadui, Feb 19, 2011.

 1. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wadau poleni na mapumzuko, Wanajamii naomba mnisaidie hili jambo. kila Chuo kikuu hapa Nchini utaambiwa kuna wanafunzi wenye virusi vya ukimwi wanasomeshwa na Mama Salma Kikwete lakini ukienda vyuoni hupati hata mmoja anaehusika na hili jambo, UDOM ndo wanasema wapo wengi ikifuatiwa na UD Kisha Mkwawa,
  maswali ya msingi
  Mama Salma amewapata wapi hao wanafunzi wenye vvu zaidi ya 5000?
  Mama Salma hana kazi anapata wapi hela ya kuwalipia hao wanafunzi?
  Nani anawaibua hao wanafunzi kutoka sehemu mbali mbali hadi kwa Mama Salma?
  Mama Salma mwenyewe sijawahi kumsikia akilizungumzia hili swala je halijui?

  maoni yangu juu ya kadhia hii ni kwamba, hili ni propaganda ya kisiasa yenye lengo la kutaka kumjengea sifa huyu Mama ili watanzania wamuone ni mtu wa Maana.
  ila kama ni kweli basi Mungu ambariki Mama huyu.
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,339
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Je umeongea na uongozi wa Vyuo ulivyofanyia research?
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,366
  Likes Received: 2,782
  Trophy Points: 280
  Ndugu chunguza kwanza katika vyuo ivyo ili uje na concrete data.
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Story tu mtu wangu, salma Kikwete alikuwa mwalimu hata kama anawalipia hizo hela kapata wapi? Ni za Walipa kodi tu acha tuumie na Ujinga wetu mtu wangu....
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii ni kama fununu/tetesi, tupe source kdg ya taarifa kamili ili nasi tunaweza kuifanyia research mkuu.
   
 6. N

  Nipohaitena Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni kweli na amefanya vema, na ikiwa anatumia kodi zetu pia si tatizo. kwani hao wanafunzi pia ni watz. kama anatumia hela za wafadhili pia si tatizo. na jinsi alivyo wapata ni jambo jingine ambalo atapaswa kujibu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,496
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Hizi ni habari ambazo zipo mtaani lakini bado hazijathibitishwa, na hapa kuliwahi kuwa na mjadala wa hii ishu.
   
 8. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,756
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kitu cha udaku hicho
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unaongelea watoto wa "salma",....hao naskia ni waenezaji wakubwa wa virusi ila sijui anawapata wapi au nani anawapeleka kwake kweli!

  Naskia wengi wao wananyoa upara au kukata nywele,ni warembo kweli kweli ukifumba macho unaanguka
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mume msanii, mke msanii na watoto wasanii!! Nchi imebahatika kuwa na uongozi wa kisanii.
   
Loading...