Hivi ni kweli Magufuli anatuambia watanzania ni wajinga hatujui haki zetu na hatujitambui

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Wameshaliona litanzania ni linchi likubwa lina madhahabu lina kila kitu lakini ni eneo la watu ambao hawajitambui huo ndio ukweli japo sio maneno mazuri sana".Rais Magufuli.

#KuapishwaViongoziwateuleIkulu.
Najiuliza ile kauli ya Kenyatta rais wa kwanza wa Kenya aliyomwambia Nyerere kuwa

Watanzania ni sawa na maiti kuwaongoza maana hawataweza kuamka milele kudai haki zao naona Magufuli naye anaibariki kabisa.

Kwa sababu anafanya atakavyo watu wako kimya kazi kupongeza tu
 
Watanzania ni sawa na maiti kuwaongoza maana hawataweza kuamka milele kudai haki zao naona Magufuri naye anaibariki kabisa.

Yupo sahihi, kwa vile hata yeye na wenzake ni watanzania wale wale anaotusema, labda anamanisha yeye sio mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wameshaliona litanzania ni linchi likubwa lina madhahabu lina kila kitu lakini ni eneo la watu ambao hawajitambui huo ndio ukweli japo sio maneno mazuri sana".Rais Magufuli.

#KuapishwaViongoziwateuleIkulu.
Najiuliza ile kauli ya Kenyatta rais wa kwanza wa Kenya aliyomwambia Nyerere kuwa

Watanzania ni sawa na maiti kuwaongoza maana hawataweza kuamka milele kudai haki zao naona Magufuri naye anaibariki kabisa.

Kwa sababu anafanya atakavyo watu wako kimya kazi kupongeza tu
Kama maMvi alituibia kupitia RichMond na akashindwa kujitetea bungeni na kuamua kujiuzuru, Chadema kupitia Lissu ili mweka maMvi kama kinara namba mmoja katika waraka wa Mafisadi wa nchi hii.
Baada ya muda Chadema kupitia DJ na Lissu wakalazimisha kumpitisha maMvi kugombea Urais kupitia chama chao, Uku zikifanyika juhudi kubwa kumsafisha. Chakushangaza maMvi alifikisha kura milioni sita kwenye matokeo ya uchaguzi huo. Kwa hali iyo hakunashaka kabisa nchi hii kunakundi kubwa la watu hawajitambui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Wameshaliona litanzania ni linchi likubwa lina madhahabu lina kila kitu lakini ni eneo la watu ambao hawajitambui huo ndio ukweli japo sio maneno mazuri sana".Rais Magufuli.

#KuapishwaViongoziwateuleIkulu.
Najiuliza ile kauli ya Kenyatta rais wa kwanza wa Kenya aliyomwambia Nyerere kuwa

Watanzania ni sawa na maiti kuwaongoza maana hawataweza kuamka milele kudai haki zao naona Magufuli naye anaibariki kabisa.

Kwa sababu anafanya atakavyo watu wako kimya kazi kupongeza tu
Kasema ukweli kama hamjamlisha maneno, maana amegundua hatujitambui na tunaweza fanyiwa lolote tukakaa kimya tu au tukaishia kusali na kulalama kimya kimya tena kwa woga
 
"Wameshaliona litanzania ni linchi likubwa lina madhahabu lina kila kitu lakini ni eneo la watu ambao hawajitambui huo ndio ukweli japo sio maneno mazuri sana".Rais Magufuli.

#KuapishwaViongoziwateuleIkulu.
Najiuliza ile kauli ya Kenyatta rais wa kwanza wa Kenya aliyomwambia Nyerere kuwa

Watanzania ni sawa na maiti kuwaongoza maana hawataweza kuamka milele kudai haki zao naona Magufuli naye anaibariki kabisa.

Kwa sababu anafanya atakavyo watu wako kimya kazi kupongeza tu
Ni kweli Watanzania wengi ni wajinga hasa wale wa chama chake maana bila ujinga wa Watanzania angekuwa tushamuondosha kwenye nafasi ya urais maana hana sifa ya kuongoza watu wenye akili zao timamu

Ukweli ndio Watanzania tu wajinga mno kuendelea kutawaliwa na chama kilichoshindwa kwa nusu karne na bado kinaendelea kuwapo madarakani

Ifike wakati Watanzania tuondoe tofauti zetu zote ili tuipumzishe ccm iliyoleta ujinga na umasikini ambao bado imeulea na kuufanya ndio kinga ya uwepo wake madarakani

2020 John Walker out
 
Kama maMvi alituibia kupitia RichMond na akashindwa kujitetea bungeni na kuamua kujiuzuru, Chadema kupitia Lissu ili mweka maMvi kama kinara namba mmoja katika waraka wa Mafisadi wa nchi hii.
Baada ya muda Chadema kupitia DJ na Lissu wakalazimisha kumpitisha maMvi kugombea Urais kupitia chama chao, Uku zikifanyika juhudi kubwa kumsafisha. Chakushangaza maMvi alifikisha kura milioni sita kwenye matokeo ya uchaguzi huo. Kwa hali iyo hakunashaka kabisa nchi hii kunakundi kubwa la watu hawajitambui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ujinga zaidi akaitwa ikulu kusafishwa na rais kuwa mzee alitumikia nafasi yake kwa heshima kubwa na anapaswa kuheshimiwa kwa utumishi wake uliotukuka akiwa madarakani

Baada kukutana ikulu na rais wa nchi na rais kufurahia sana uwapo wake pale wale wajinga wengi na wapambe wa rais walishangilia sana

2020 John Walker out
 
Ni kweli Watanzania wengi ni wajinga hasa wale wa chama chake maana bila ujinga wa Watanzania angekuwa tushamuondosha kwenye nafasi ya urais maana hana sifa ya kuongoza watu wenye akili zao timamu

Ukweli ndio Watanzania tu wajinga mno kuendelea kutawaliwa na chama kilichoshindwa kwa nusu karne na bado kinaendelea kuwapo madarakani

Ifike wakati Watanzania tuondoe tofauti zetu zote ili tuipumzishe ccm iliyoleta ujinga na umasikini ambao bado imeulea na kuufanya ndio kinga ya uwepo wake madarakani

2020 John Walker out
IMG-20180811-WA0018.jpg

IMG-20180807-WA0008.jpg
 
Kwa kweli nimemsikiza,leo ameongea akiwa anaonekana amechoka sana. Na yeye amekiri kuwa jana hakulala kwa vile alikuwa anafuatilia ndege mpya ....!! Halafu amedai kazi ni nyingi ndiyo maana haendi likizo. Seriously!!? Kumbe zile safari za Chato every third month siyo likizo!!? Basi kwa jinsi alivyoonekana leo kwa kweli anastahili kalikizo!!

Anyway, hizi hotuba za Rais za kulalamika kwa nini hatujafanya hiki au hatujaanziasha hiki, sijui tuna matatizo gani sioni kama zina tija kwa Taifa. Yeye kama kiongozi inabidi aje na solutions badala ya maswali!! Sababu nyingine anazoongea kuhusu mabadiliko ya viongozi hazina mashiko ..............!!
 
Back
Top Bottom