Elections 2010 Hivi ni kweli Lwakatare ameshindwa!!!???

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani?
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili....Mali ya kidunia na Mungu..lazima moja litakuponyoka!!!!!... Asema Bwana!!
 
Back
Top Bottom