macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,543
Mmakonde... hata Obama akiwa na akili mara milioni moja zaidi ya Bush hii haitatusaidia sisi watu weusi..Sio siri Mr Obama ni more intelligent than Bush!Hii ni akili ya Kijaluo
Mmakonde... hata Obama akiwa na akili mara milioni moja zaidi ya Bush hii haitatusaidia sisi watu weusi..Sio siri Mr Obama ni more intelligent than Bush!Hii ni akili ya Kijaluo
Chamoto, umesema yaliyo kweli, tukianza kutafuta chanzo cha ujinga wetu tutarudi hadi kwa nuhu na hatutapata majibu, muhimu tujiulize tufanye nini sasa?
Chamoto, umesema yaliyo kweli, tukianza kutafuta chanzo cha ujinga wetu tutarudi hadi kwa nuhu na hatutapata majibu, muhimu tujiulize tufanye nini sasa?
Sasa kwa nini nchi nyingi za weusi au sehemu nyingi za weusi kote hapa duniani ziko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na sehemu za wazungu? Chukulia kwa mfano Haiti ni nchi ambayo ilianzishwa na weusi waliokuwa utumwani. Lakini angalia maisha yao. Sasa hebu linganisha Haiti na New Zealand kwa mfano, nchi kisiwa iliyoanzishwa na wahamiaji wengi wa kutoka Uingereza na sehemu zingine za ulaya. Mbona wao wameendelea zaidi...
Hili wala hata haliitaji siasa kabisa maana ukweli tena unaooneka kwa macho waziwazi unajionesha wenyewe...wazungu wametupita.
NOTE. ASIYE KUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI.
Mi bado hapo kwenye mazingira sipo vizuri....maana kama mtu unaweza kupambana na mazingira ulionayo na kujiletea maendeleo means you have something in brain....thts my point!
Mkuu Bubu..Usisahau pia Wazungu pia walitumia nguvu kubwa sana ya Watumwa kwa miaka chungu nzima na kuwatumikisha kuliko hata wanyama tena bila ujira. Watumwa hao walisaidia sana katika kuleta maendeleo ya nchi zilizoshiriki katika biashara ya Utumwa zikiwemo Marekani na Uingereza.
Kuwa nyuma kwa nchi za Kiafrika kunasababishwa sana na kutokuwa na vision na utendaji finyu wa Viongozi wetu ambao mara nyingi maamuzi yao hayaweki mbele maslahi ya nchi. Kwa mfano unadhani nchi kama za Asia au Ulaya zingekubali kusaini mkataba wa kuchimba madini yao ya dhahabu na kuambulia 3% tu ya mapato? lakini kwa Afrika Viongozi wengi wanaweza kusaini mkataba kama huo na kuutetea kwa nguvu zao zote eti una maslahi kwa nchi zao! Tumepiga kelele tangu 2000 miaka 10 iliyopita kuhusu mkataba na makampuni hayo, hadi hii leo hauna lolote lililofanyika na jamaa wanaendelea kuiba utajiri wetu. Sasa katika hali kama hii maendeleo yatapatikana vipi!?
Mkuu Bubu..
Hili la watumwa ... sijui kuporwa raslimali zetu mimi huwa nalipinga.... Nadhani halina effect kubwa kwenye maendeleo yetu au yao. By the way hata mtu utajiulize kwa nini sisi ndio tuchikuliwe watumwa au tuporwe na sio wao?
Wametupita vyote(vizuri na vibaya), kwa sababu wanaakili zaidi yetu.Wametupita nini? Kwa sababu gani?
Siyo unakuja ku dumb down mjadala na vi one liner hapa wakati watu wanataka ukisema kitu una ki back na analysis.
Umesoma post # 32 na kuielewa? Unaweza kujibu hoja zilizotolewa katika hiyo post?
Wametupita vyote(vizuri na vibaya), kwa sababu wanaakili zaidi yetu.
Kaka hii haitaji kuandika backing analysis sababu vitu vyote viko wazi tena vyaonekana kwa macho na sio abstract....starting with ua keyboard that makes u link with the world from ua home.....then u can go on and on........
Niliisoma mkuu na nimeoisoma tena.This is what I call a classic case of dumbing down things and farting idiocracy.
Umesoma post # 32? Au unaendelea kupalilia mazingira ya uvivu wa kusoma?
Niliisoma mkuu na nimeoisoma tena.
Nafikiri hapa tunaongelea generality na sio singurality......maana tukisema kwa singurality i'm also black who is inteligent among baadhi ya wanafunzi wenzangu who is wazungu ninaosoma nao....BUT when we come to the issue of RACE... WHITES VS BLACKS...hapo ndipo tunapopigwa bao tena lile la kisigino yaani kwenye kona tunaachwa kwa 120 speed....sizarau race yangu NO!...black is my niggahood forever but binafsi waga sipendi kujifariji kwa kitu amabacho nakiona wazi sio kweli ila kwa influence fulani fulani nikisuport tu...i always call a spade SPADE.
Mytake is that we guys must work hard hususani kuwaanda vizazi vyetu ili siku moja nasi tuwe tilted kama tunaakili zaidi ya wazungu.....Wachina haooo wameanza kuweza tena kwa speed sana......so even us we can....though it will take time...
Note: kwa move kama ya viongozi tulionao Bongo sasa believe me kaka tutazidi kua hatuna aikili mbele ya Mzungu na hata hizi tulizonazo sasa i gues zitaisha zooote.