Unajua nilikuwa nabishana na mama mmoja mmarekani mweusi kuhusu Sara Palin ya kwamba hajui chochote kuhusu dunia hii na hii ni kawaida kwa wamarekani wengi ila kwa yeye (Sara Palin) ambaye ni kiongozi alitakiwa kuwa anafahamu kuwa Africa siyo nchi.
Pia nikamwambia wamarekani wengi hawatembei nje ya state yao, utakuta mtu kazaliwa katika mji fulani na ufahamu wake niwa hapo hapa nikamwuuliza kwanini hawatembei? Akasema "We don't need to"
Kwenye bold lhapo. Unaposema hivyo unawalinganisha na wabongo au watu gani? Are you serious with what you are saying? Nafikirii kwa kutembea wanatuzidi aisee. Wenzetu wanazo resources na wanasafiri kushinda sisi sababu wanazo na they are more curious kuliko sisi. Wewe personally umewahii kwenda nchi ngapi duniani hapa just for sight seeing? wenzetu wengi wao hufanya hivyo annually! ni waTZ wangapi huenda nje hata hapo Kenya kwaajili ya kutembea tu? Sio kwamba hatupendi ni kwamba hatuwezi,no money to do that. Let's be realistic ktk mambo tunayobisha.