Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

Sidhani kama ni kweli...

Kwa kuishi kwangu hapa duniani naona kama wapo evenly distributed tu..sijaona watu wanaegemea sana weupe..

Wasichana wanajitesa tu na kutafuta weupe bure...wala wanaume do not care at all!

The funny thing is,tena wakiona weupe wa kujichubua hawapendi kabisa...

Men admire natural girls,like,really!
 
Hivi kwann kila mtu anawazia kuoa mwanamke mweupe sasa awa weusi wataolewa na nani ?

Ndo maana wasichana wanajichibua ili wapate hizo ndoa na wenyewe.

Sasa hivi ukikuta mtu kaoa mwanamke mweusi basi ujue kabilkwa wo wowo ..

Wanawake weusi wengi ndo masinngle mother .
Alooo si wote kaka. Kuna ma black beauty wa ukweli out there. Kama unadhan wote wanatafuta mwanamke mweupe huo ni uongo.

Wako visu vikali, ni black beauty,kuanzia sura mpaka umbo wako njema.

So sio wote..
 
Hii mada ni ya vijana wadogo, sisi tulo oa haituhusu, tumetulia na melanin wetu tu.
1e4eea124f45c8fc68d5c46c2c545ed5.jpg
 
mimi naamini kila mwanadamu kashushwa na rangi yake ya kumpendeza. ila tu ni kuziboresha ziwe bora zaidi, ndio tunapakaga mafuta,lotion,body cream (simaanishi kujichubua)
maana wakati mwingine ngozi zetu zinakua na chunusi,mara hapa peupe mara hapa peusi.kwahyo tunalazimika kuziboresha hasa sisiwanawake.
 
Mimi natamani sana kupata mwanamke mweusi mwenye umbo la kibantu lakini sijabahatika
 
Back
Top Bottom