Hivi ni kweli kuwa Zitto hajui kasimamishwa kwa makosa Gani??

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hebu tutafakari kwa kina,

Hivi ni kweli bwana Zitto hajui kasimamishwa uongozi wa CDM kwa makosa gani??

Anapozunguka katika media na kudai hajapokea barua ya makosa yalimsababishia kuvuliwa uongozi ni kweli???

Kama hayajui inakuwaje anayajibia huko kwenye media?

Na kwanini CCM wanakuwa msemaji wa Zitto na hata mara moja Zitto hajawakana wala kuwakemea??

Kunani juu ya saga hili?
 
Inaonekana aliisubiri kwa hamu sana hii saga.bora hata jambo hili limetokea mapema.
 
Hebu tutafakari kwa kina,

Hivi ni kweli bwana Zitto hajui kasimamishwa uongozi wa CDM kwa makosa gani??

Anapozunguka katika media na kudai hajapokea barua ya makosa yalimsababishia kuvuliwa uongozi ni kweli???

Kama hayajui inakuwaje anayajibia huko kwenye media?

Na kwanini CCM wanakuwa msemaji wa Zitto na hata mara moja Zitto hajawakana wala kuwakemea??

Kunani juu ya saga hili?

mkuu the return of undertaker, wale wote waliojiunga cdm kwa sbb ya kumpenda mtu, wamchukue wakanywe nae chai huko kwao. sisi tuliojiunga cdm kwa sbb ya sera yake tutaendeleza mashambulizi na ktk hili,mkulu mungu yupo upande wetu na WALLAHI TUTASHINDA.
 
Back
Top Bottom