Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hebu tutafakari kwa kina,
Hivi ni kweli bwana Zitto hajui kasimamishwa uongozi wa CDM kwa makosa gani??
Anapozunguka katika media na kudai hajapokea barua ya makosa yalimsababishia kuvuliwa uongozi ni kweli???
Kama hayajui inakuwaje anayajibia huko kwenye media?
Na kwanini CCM wanakuwa msemaji wa Zitto na hata mara moja Zitto hajawakana wala kuwakemea??
Kunani juu ya saga hili?