BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,041
- 10,463
Recently tumeona msanii wa kike ambaye wengi tunaamini ni moja kati wasanii wa muziki wenye mafanikio kwenye muziki na uchumi Vanessa Mdee(V Money) akieleza changamoto anazozipitia kiasi cha kuishi maisha fake ili tu jamii imuone ana mafanikio wakati uhalisia ni tofauti.
Kama Vanessa aliyosema ni kweli je hali ipoje kwa wasanii wengine ambao hawana exposure nchi za nje, hit songs nyingi, hawafanyi matangazo na hawana wadhamini? Pengine ndo chanzo cha baadhi ya wasanii Ku-Undergo mental illness.
Maoni Yangu ni kuwa kama kweli sanaa hailipi. Ni wakati wasanii wakafanya just for fun na sio source yao kuu ya income. Wa-deal na mambo mengine kama biashara au kuajiriwa kwenye Taasisi za kiserikali na binafsi.