Hivi ni kweli kuwa watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye mgomo?

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,657
6,909
Kuna ukweli kuwa wale watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye kamgomo ka kudai kutambulika na kulipwa vizuri kwani nguvu wanaoitumia humu JF na kwingineko haikufanana na buku saba waliokuwa wakilipwa? Kwa ushahidi mdogo tu, ona kina Kawe Alumni et al walivyoibuka Leo baada ya Ile training iliyowajumuisha wengine sita pale Lumumba kufungwa jana!

Karibuni Tena humu JF tupambane kwa hoja na sio kwa risasi na marungu!
 
Kuna sehemu kawe alumn kaandika thread alafu akaunga mkono mwenyewe kwene hiyo thead kajisahau kwamba id alotumia kuandika thread ndio id alotumia kuunga mkono juhudi, nlikuwa siamini kuhusu hawa jamaa sasa nimeanza kuamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Swali hili linajibiwa na uwepo wao kwa wingi humu jf Kama kina kawe alumni et al ambao hawakuonekana humu kwa kipindi kirefu!

Kuna tetesi kuwa hoja zao za kuongezea maslahi zimekubaliwa na watalipwa zaidi ya buku saba za mwanzo kwani walidai kazi yao haikulingana na malipo ya buku saba!

Pia kuna kundi jipya la watu sita waliokuwa wanafuliwa kitaalamu pale lumumba likifundishwa jinsi ya kufanya propaganda mitandaoni ambao kazi yao ni kuanzisha threads na Kisha kuungwa mkono na wale wa zamani!

Nawasubiri kwa hamu kubwa hapa tuchuane kwa hoja!
 
2020 ndo hiyoo.....!! Naiona 'Risk' ya kukosa hata mbunge mmoja wa kurudi mjengoni iwapo mambo yataendelea kama ilivyo sasa..
 
2020 ndo hiyoo.....!! Naiona 'Risk' ya kukosa hata mbunge mmoja wa kurudi mjengoni iwapo mambo yataendelea kama ilivyo sasa..
Alishakula kiapo jiwe kua 2020 hataki kuona upinzani na alishaanza na chaguzi za marudio wote tumeshuhudia nguvu kubwa ya dola inavotumika kuharibu chaguzi lkn mambo mabaya zaidi tumeshuhudia uchaguzi serikali za mitaa yaani ni vituko Dunia nzima inashangaa.

Kupigwa risasi kutekwa na kunyanyaswa kiuchumi kwa wapimzani ndo mpango mzima wa CCM kwa sasa. Mbaya Zaid rais aliwaita wasimamizi wa uchaguzi ikulu na kuwaagiza kutotangaza wapinzani. Wananchi wanahasira sn tutaona mambo mabaya hasa uchaguzi wa Mwaka huu.
 
Hahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!

Bado baba lao aka Sugu!
Mpaka sasa amejnga viwanda vingapi nchini?? Tuna awamu ya hovyo kweli kweli inapambana na upinzani na kutumia resource nyingi kupukutisha upinzani kwani upinzani ndio umefanya GDP isiongezeka au mfumuko wa bei za bidhaa zinaletwa na wapinzani?
 
Back
Top Bottom