Kuna ukweli kuwa wale watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye kamgomo ka kudai kutambulika na kulipwa vizuri kwani nguvu wanaoitumia humu JF na kwingineko haikufanana na buku saba waliokuwa wakilipwa? Kwa ushahidi mdogo tu, ona kina Kawe Alumni et al walivyoibuka Leo baada ya Ile training iliyowajumuisha wengine sita pale Lumumba kufungwa jana!
Karibuni Tena humu JF tupambane kwa hoja na sio kwa risasi na marungu!
Karibuni Tena humu JF tupambane kwa hoja na sio kwa risasi na marungu!