Hivi ni kweli kuwa mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza kumtia mimba?

Eti wakuu,mfano labda enzi za ujanani ulikua na galfriend mkapeana mimba then mkakubaliana kuitoa,halafu labda kutokana na mihangaiko ya maisha mkaja mkapotezeana kila mtu akaenda njia yake.kuna ukweli kwamba mwanamke huwa hamsahau mwanaume wake wa kwanza kumtia mimba even if waliitoa hiyo mimba,na hata akiolewa na mumewe lazima tu atakua anammiss baba mtoto wake wa kwanza?
Watz watapata Katiba Mpya wakiwa wamechoka sana
 
Back
Top Bottom