Hivi ni kweli kuna watu wanaiba maji kujipelekea kwao?

Rufaro

JF-Expert Member
May 7, 2022
222
340
Mbona sasa maisha ya mtanzania yanazidi kua magumu, au ile kauli ya tuhamie burundi walikua wanamanisha.. tuhamie Burundi ili wazidi kujineemesha wao kupitia rasilimali za nchi hii

Mtanzania umkamue roho kupitia tozo, bado tena usimpe umeme wa uhakika ( umuibie), hapo hapo umpandishie bidhaa haswa vyakula, kwamba unataka tufe tu mana chakula ndio uhai, umeona haitoshi sasa unamuibia MAJI na tunavyojua maji ni uhai. Sithubutu kuzungumza kwenye ajira na kodi utitiri kwenye biashara, bado sijathubutu kuzungumzia miradi mikubwa ya JPM ambayo ghafla imeanza kusuasua.

Ni kweli wananchi hatuhitajiki nchi hii? Dah , wakati haya yanatokea hua sauti marehemu JPM ya "mtanikumbuka" hua inajirudia masikioni mwangu..embu kila mtanzania ambaye anaumizwa na haya apige goti tuwashtakie kwa Mungu hawa wadhalimu.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mtu anae mkumbuka JPM kwa mazuri ujue hajui uchumi ni limbukeni au sukuma gang, huyu mtu ndani ya miaka mitano alikua amesha cripple uchumi wetu kwa kiasi kikubwa, hi hali ya uchumi tunao pitia kwasasa imetokana na sera mbovu na maamuzi ya hovyo ya JPM na kundi lake.
 
Mkuu,kama hakuna vyakula uvipendvyo,kwa nini usile mihogo?Na kama unanyimwa maji,tumia juisi,chai au soda.Na kama kodi/tozo zimezidi kwenye biashara,achana nayo.Kalime hata pamba.

Mungu humpa binadamu mambo mbadala ya kuchagua.CCM oyeee!Umeme oyeeee!Tii kiu yako kwa kunywa soda.😂😂😂😂
 
Mama asipokuwa makini 2025 atapigwa Kama Ngoma
CCM haing'oki kwa vijikaratasi mnavyoviita kura.Labda muwaondoe polisi,TISS,wakurugenzi makada na waoga wasioitaka demokrasia,wasimamizi uchaguzi wanafiki na waoga(hasa walimu)wanaolazimishwa kuandika matokeo batili kwa kuipendelea CCM. Usisahau tume huru na mahakama inayosimamia weledi wake bila mawaa.
 
CCM haing'oki kwa vijikaratasi mnavyoviita kura.Labda muwaondoe polisi,TISS,wakurugenzi makada na waoga wasioitaka demokrasia,wasimamizi uchaguzi wanafiki na waoga(hasa walimu)wanaolazimishwa kuandika matokeo batili kwa kuipendelea CCM.Usisahau tume huru na mahakama inayosimamia weledi wake bila mawaa.
itafika muda hata hao uliotaja hapo hawataona faida ya kuwaibia kura kwakua maumivu tunayapata wote wale waalimu walio kua na kiherehere na chama sasa hvi wamefyata wanaona wanavisalitiwa kimya kimya
 
itafika muda hata hao uliotaja hapo hawataona faida ya kuwaibia kura kwakua maumivu tunayapata wote wale waalimu walio kua na kiherehere na chama sasa hvi wamefyata wanaona wanavisalitiwa kimya kimya
Ni vema wakashtuka na kuubaini ukweli mapema.Kwa maamuzi yao ya kipuuzi wanaumiza jamii nzima.Wanapofanya "uhalifu" wa kuipendelea CCM kwa wakati huo hudhania wanawakomoa CHADEMA au anayekinzana na CCM.Kumbe wanaleta maafa hadi kwao wenyewe.Inaudhi sana!
 
Mtu anae mkumbuka JPM kwa mazuri ujue hajui uchumi ni limbukeni au sukuma gang, huyu mtu ndani ya miaka mitano alikua amesha cripple uchumi wetu kwa kiasi kikubwa, hi hali ya uchumi tunao pitia kwasasa imetokana na sera mbovu na maamuzi ya hovyo ya JPM na kundi lake.
Akili kisoda mchumi mbobevu wa kwenye makaratasi
 
Mkuu,kama hakuna vyakula uvipendvyo,kwa nini usile mihogo?Na kama unanyimwa maji,tumia juisi,chai au soda.Na kama kodi/tozo zimezidi kwenye biashara,achana nayo.Kalime hata pamba.

Mungu humpa binadamu mambo mbadala ya kuchagua.CCM oyeee!Umeme oyeeee!Tii kiu yako kwa kunywa soda.
Aisee kwaio watu wajitawazie na soda / chai / juisi au kuoga juisi / chai / chai
 
Mtu anae mkumbuka JPM kwa mazuri ujue hajui uchumi ni limbukeni au sukuma gang, huyu mtu ndani ya miaka mitano alikua amesha cripple uchumi wetu kwa kiasi kikubwa, hi hali ya uchumi tunao pitia kwasasa imetokana na sera mbovu na maamuzi ya hovyo ya JPM na kundi lake.
Sikuwahi kusikia sekta za benki zikitangaza hasara hata mara moja kwenye utawala wake
 
Bahari ina kazi gani?Jiongeze.Siyo kila kitu upewe majibu.
Nmekuuliza swali kulingana na ulichojibu, hivyo nakuuliza tena, umesema kua mtanzania akinyimwa maji atumie soda na juisi, ndio nakuuliza watu watajitawaza na chai? Watu wataoga chai? Watu watafulia juisi?
 
kwani mlitumwa kukaa kimya hata mnapoingiziwa vidole makalioni? komaeni na hali zenu msije kuleta nyuzi humu zisizokuwa na maana , mlishaambiwa kama mnaona mbwai hameni nchi, kuhama hamuhami mnakalia kuandika andika tu kwenye mitandao kazeni buti na bado mitano tena baada ya hii shubaaamittt
 
Back
Top Bottom