The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Wasalaam,
Nimekaa hapa Shambani nakunywa Ulanzi, Pembeni ya Vitindi Yupo Kinyonga nweusi Cha Ajabu sasa ni masaa Mawili hajabadilika rangi yake kama tunavyoaminishwa kutoka Weusi kwenda Ukijani wa Vitindi. Je ni kweli kinyonga anabadilika rangi au Uongo tulioaminishwa?
Sina Utaalamu wa Viumbe, Hivyo naruhusiwa kukosolewa.