Lmasesa
Member
- Nov 23, 2010
- 12
- 0
"KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LETU" Kauli hii nimekua nikiisikia toka naanza kupata akili! Viongozi wetu wamekuwa akiimba wimbo huu unaokifu kwa muda mrefu zaidi ya mno! Lakini cha ajabu hakuna kiongozi anaeonekana kuamini hilo. Kwa kuwa matendo yao hayafanani kabisa na wimbo huo. Hivi kweli raisi wetu JK anaamini kwa kumteua Mghembe kuwa Waziri wa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji atakua amethibitisha ukweli kua "KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LETU" No..... the President is not serious about KILIMO! Ukizingatia KILIMO ndiyo shughuli kuu ya kiuchumi inayotoa ajira kwa 80% ya Watanzania... Kwa mtaji huu tutatoka kweli?...