Hivi ni kweli kila mtumiaji wa simu za mkononi anachangia CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli kila mtumiaji wa simu za mkononi anachangia CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kazibure, Oct 25, 2010.

 1. K

  Kazibure Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kuna habari kwamba sie watumiaji wasimu hizi za mobile huwa tunachangia CCM kwa kukatwa kiasi fulani cha pesa bila kujua.

  Kwa mujibu wa vijihabari vilivyopatikana toka kwa watu wa makampuni wa simu zinasema kwamba makampuni hayo yalifuatwa na CCM na kuambiwa wachangie nao wakakutana na kuamua gharama hii kutupia wananchi wa kawaida.

  Zaidi ni kwamba watu wa mtandao wanajua jinsi ya kujua kiasi gani umechangia katika hichi chama nyonya.

  Tunaomba kwa wale wanaojua jinsi ya kuangalia kiasi tulichonyonywa watusaidie nasi tuweze kujua tulivyo kamuliwa.

  Tusaidieni mnaoweza kufahamu unyonyaji huo
   
Loading...